• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

complex

 1. J

  Fahamu ni kwa namna gani unaweza kuongea na Watoto kuhusu mlipiko wa CoronaVirus

  Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye Runinga - au kusikia kutoka kwa watu wengine - kwa hivyo wanaweza kuwa katika hatari ya kuhisi...
 2. rodian

  Kigamboni Sports Complex: Home of Champions

 3. kidadari

  Bunju Complex ni mali ya Mo, si mali ya Simba SC

  Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo". Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba. Pia doccument za umiliki wa...
Top