maandalizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya refinery ya mafuta yaanza Chongoleani, Tanga

    TANGA , Kamati ya Pamoja ya Ufundi kati ya Tanzania na Uganda (Joint Technical Committee) imekabidhi eneo la Chongoleani, Tanga, kwa Mshauri Mwelekezi kutoka Worley Consulting Group Limited kwa ajili ya kuanza maandalizi ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea, kuhifadhi na kusafirisha mafuta...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    Za ndani kabisa. Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino. Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga. Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CAF Yasifu Maandalizi ya Tanzania kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Weekend loading, maandalizi ya mapema kama mnavyoona!

    Nini kimesahaulika hapa❓❔ Nini kisikosekane.❗💪🏿❓❕
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Hakuna maandalizi yoyote; tunasubiri Elnino itikise tuanze kumsifu Mama!

    Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali kudhibiti au kupunguza maafa yatakayotokea. Wahusika wanaendelea tu na ratiba zao kana kwamba hakuna...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

    2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akagua maandalizi ya Siku ya Mashujaa - Dodoma

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya Mashujaa, Mtumba, jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo, Waziri Mkuu ameridhishwa na hatua zilizofikiwa na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Cha Asubuhi Kinahitaji Maandalizi?!!!

    Maana nimekuwa na kawaida ya kuvamia tu bila Maandalizi yoyote. Isitoshe asubuhi miwili kwa ujumla, hususani kinywa, unakuwa umechacha (umeusu (kama wanavyopenda kutumia neno hili kule kilwa)) hivyo naogopa Maandalizi yasije yakapelekea kuongea Bure mwishowe stimu ikakata. Wajuzi, wabobezi...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Atetea Kituo cha Maandalizi ya Ebola Kinachofadhiliwa na Marekani Laikipia

    Rais William Ruto ametetea mpango wa ujenzi wa kituo cha maandalizi na kukabiliana na ugonjwa wa Ebola katika Kaunti ya Laikipia, akisema kuwa Kenya lazima iwe tayari kukabiliana na milipuko ya magonjwa hatari yanayoweza kutokea wakati wowote. Akizungumza baada ya sherehe za Madaraka Day...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ulega: Kwa ajili ya AFCON, kuna mpango wa kuweka Taa za Barabarani Dar na Arusha za Bilioni 40

    Tutajenga na kuweka Barabara nyingi Taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya AFCONMkwa mfano hii Dar na Arusha tu peke yake matarajio yetu ni taa za karibu Bilioni 40, na hii ni mipango tu, na hii itafanikiwa kwa kupitishiwa bajeti hapa bungeni. Hii ndiyo Mipango ya Wizara ya Ujenzi...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marathon ya roboti ni maandalizi kwa ajili ya siku za baadaye

    Katika njia ya mbio ya kilomita 21, zaidi ya roboti mia moja zilikimbia kwa hatua zisizoratibiwa vizuri. Nyingine ziliyumba kama walevi, nyingine zilikimbia kama walikuwa wakikimbilia kazini. Makundi ya binadamu yaliandamana nao, ili kubadilisha betri na kuhakikisha zinaendelea kukimbia. Hii...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

    Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth. Chanzo cha habari cha ujasusi cha Marekani kimesema kwamba maandalizi yanafanywa ili kurudi vitani na Iran ikiwa hakuna...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AFCON 2027 Dates Zimetoka! East Africa Bado Nyuma Kwa Maandalizi?

    Wadau, sasa ni official! Africa Cup of Nations 2027 itachezwa June 19 hadi July 18, 2027. Hii ni big win kwa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana ku-host! Lakini swali kubwa ni: tuko ready kweli? Reports zinaonyesha stadiums kama Kasarani na Talanta bado hazijakamilika, na hata training...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawaziri EAC Wakutana Kukamilisha Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026. Mkutano huo ambao umepokea na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi

    Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25 Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya mkutano wa 25 wa wakuu wa nchi

    MAKATIBU WAKUU EAC WAKUTANA KWA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa wakuu wa nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC YAANZA JIJINI ARUSHA Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha. Mkutano huo Maalumu wa...
  20. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa afya husisitiza mlo kamili, lakini wanasahau kusisitiza maandalizi sahihi

    Hi Everyone Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili: Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha. Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa. Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
Back
Top Bottom