kufungiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Vita ya kumaliza kesi ya Lissu katika giza la kufungiwa kwa CHADEMA

    Wakati CHADEMA ikianza operesheni ya “Katiba Mpya Free Lissu” katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, tayari hofu imeshatanda serikalini, ambapo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeiandikia baria ikitaka ijieleze kwa nini isifungiwe au kutozwa faini. Miongoni mwa makossa wanayotakiwa kujieleza ni...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuingilia Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC): TOC ijiandae kufungiwa na IOC

    "Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani. Pili, itatusaidia sisi kama Serikali iwapo tumekosea tuweze kujisahihisha na kuendelea kuwakelea...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Chanzo kufungiwa Coco Beach chatajwa, haijauzwa

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema Coco Beach haijauzwa, bali serikali inaboresha ili kulipa hadhi eneo hilo na kudhibiti shughuli zisizokubalika kisheria. "Vijana wengi waliopo pale coco beach hawana kazi hawana biashara wanazurura tu na wengine ni walevi wengine wanatumia...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kipa wa Yanga, Diarra kuwaonesha Wanahabari kidole cha kati , imenikumbusha Chuji alivyofanya hivyo akafungiwa

    Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea katika basi ili kuondoka kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya matokeo ya sare ya 1-1 dhidi ya Mtibwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka

    Madowo na CNN wangekuwa watanzania wangetekwa na kufungiwa lakini kwasababu ni vyombo vikubwa serikali imebaki kubweka.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: kufungiwa JF kunaisha lini?

    Nilitegemea hili la uchaguzi , kufungiwa internet na kufunguliwa litainasua JF.... Hii ni mpaka lini?
  8. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini Kila mtu atafikiwa asee,JF kufungiwa imefanya biashara imekua ngumu sana

    JF kufungiwa biashara hazifanyiki kabisa humu asee, traffic imekua chache mno,simu haziiti kabisa tangu TCRA waufungie huu mtandao. Wateja wa JF sio wa wengi ila hua wamenyooka aloo tofauti na huko tunakolipia matangazo. Meta ads unalipia dollar 25 kwa siku but returns hakuna kabisa. Huu...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Melo ataja sababu za JamiiForums kufungiwa

    Katika mazungumzo na The Chanzo amefunguka kuhusu kwanini TCRA wameifungia JamiiForums kwa siku 90 Tukiwa wenye akili timamu kabisa tunajua kuwa bila kupigania haki kwa udi na uvumba hatutoboi https://youtu.be/YLRFPaPTlOA Hatutanyamaza Britanicca
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kufungiwa, Watu elfu 12 tupo online usiku huu Jamiiforums

    Teknolojia sio sawa na kwenda kumteka mtu kisa kachoma picha ya Rais. Kwa Mamlaka na Cheo chako, Unaweza kutakani kuona mtu haiingii online ukashindwa. Kiko wapi? Uliotamani tusihabalishane ndo kwanza tumefungulia.
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Habari za huko TANZANIA, kufungiwa Kwa Jamiiforums ni ishara ya ushindi wa umma

    Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
  12. bro alex

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kufungiwa mimi nimehusika, tuheshimiane

    Ilikuwa Jumatano siku za nyuma hivi mawiki kadhaa, niliamka masikini nikiwa na furaha TU vizuri, ndo nilipopata wazo la kutoa Uzi kubadilishana mawazo, katika hali isio tegemewa ghafla mambo yalienda tofauti, nilipolomoshewa matusi ya nguoni hadi wazazi wangu walitukanwa kwa makosa wasio yajua...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa JF ila utashangaa wale chawa nao wakaja wanatumia VPN kueleza mama kaachia uhuru

    Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm. Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je taarifa ya kufungiwa JF kwa siku 90 ina mapungufu?

    Kwa mujibu wa maelezo shida ilionekana huko Instagram.. Kwa mtazamo wa kawaida pengine ndio imefungiwa kulingana na maelezo haya hapa Lakini baadae kwenye huo mwendelezo kuna maelezo haya pia Na mwisho ni hii barua rasmi ya TCRA ambayo "nadhani" ndio ina hayo maelezo yote Pamoja na utata huo na...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la kufungiwa kwa makanisa na majukwaa pamoja na kuteka ni jaribio la kutaka kuiteka nchi

    Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope. Sasa kuna wahaini wanajaribu kujimilikisha hii nchi wanajaribu kupata control ya kila kitu, nchi bado haija...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
  19. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  20. 26 Life

    JamiiForums Tanzania Mitandao inaweza kupata shida usiku huu wakati Polepole anapozungumza lakini akimaliza utaona inarejea kwenye hali yake

    Kama ilivyo kawaida kwa tarehe kama hizi ambapo watetea haki za wanyonge wakitaka kuelezea mambo kadha wa kadha ili kufungua fikra za wananchi bhasi Mitandao ya kijamii ambapo mtu anaweza kuaccess live kabisa bila chenga kupata updates kwa hao wapigania haki mambo huwa tofauti kidogo. Bhasi...
Back
Top Bottom