alipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mbona Nchimbi hauliziwi alipo ? Je watanganyika hawampendi?

    Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi. Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo. Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania NCHIMBI AJITOKEZE AU SERIKALI ISEME ALIPO.

    Nchimbi ni mwanaCCM mwenzetu na makamu wa rais mstaafu. Zaidi ya yote ni mtanzania. Tunaomba serikali iseme aliko au yeye ajitokeze. Tunajua yupo hai. Sisi watanzania wa kusini tunajiuliza maswali mengi mfano: 1. Kwa nini asionekane kwenye uapisho wa makamu mpya wa rais ikiwa kujihudhuru kwake...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je Japan inajua alipo Rachel Dangwa?

    Kwakwi hadi sasa, hakuna jibu la usahihi la umma ikiwa serikali au watu nchini Japan wanajua alipo Rachel Dangwa, kwani suala la kupotea kwake limebaki kuwa kitendawili kikubwa na sintofahamu tangu mwanzo wa Agosti 2026. Vyombo vya usalama nchini humo vimekuwa vikishughulikia suala hilo kwa...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Huwezi kuwa na siri nzito za matukio ya Oktoba mwaka ule, halafu waukuache tu unarandaranda mitaani.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Rachel Dangwa hajulikani alipo

    Mwanaharakati, Maria Sarungi ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa X usiku huu akidai kuwa Rachel Dangwa hajulikani alipo tangu Ijumaa huko nchini Japan.
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Maali alipo Humphrey Polepole tuhakikishe tunampeka Abdul pia

    Hii ni solution rahisi sana ndugu zangu na itakomesha kabisa matukio hatarishi katika jamii yetu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 15 imetimia tangu Amos Lukinda apotee. Hakuna taarifa yoyote mahala alipo

    Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta. Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza. Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana yeye ni msaidizi wa sheria yaani Paralegal. Je, ni polisi? Kama ni polisi alikuwa na kosa gani? Maana...
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  9. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania NimemMiss sana member Yoga popote alipo namsalimia

    Mzuka wana jamvi ? Rejea kichwa cha uzi sitaki mambo mengi.
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama walishindwa kujua Mh Gwajima Bishop alipo, basi Hawana intelijensia yoyote , Kauli ya Polisi ya "Tunawafatilia" ni Kujimwambafai tu !!.

    Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??. Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha, Polisi Uganda wakikagua video ya mwisho aliyopost Bobi Wine kufahamu alipo

    Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Polisi kumshikilia Mwandambo bila kumpeleka mahakamani, kumpa dhamana wala kujulikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki

    Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki. Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ? Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wewe Samia Suluhu Hassan unajua alipo Mteule wako Humphrey Polepole?

    Nakuagiza ututangazie alipo kama tulivyo tangaziwa alivyo teuliwa. Hii ni amri sio ombi.
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

    Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Day 14: John Heche ahamishwa kituo cha Polisi, haijulikani anapelekwa wapi

    Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud. Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu hayatakuwa na kikomo mpaka haki itendeke na waliopotea wapatikane

    Huu ni mwanzo tu
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Microsoft Teams kuanza kuonyesha mfanyakazi alipo

    Kampuni ya Microsoft imezindua kipengele kipya katika programu yake ya Teams kinacholenga kurahisisha ufuatiliaji wa mahali wafanyakazi walipo, hatua ambayo imezua mjadala kuhusu faragha kazini. Kupitia kipengele hicho, waajiri wataweza kubaini kama mfanyakazi anafanya kazi ofisini au nje ya...
Back
Top Bottom