Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.
Hizi ni pesa nyingi sana. Nyingi mno. US ina watu kama milioni 350 na inadaiwa dola Trilioni 40. Afrika nzima ya watu 1.4 bilioni inadaiwa kama trilioni 1.5 tu. Nchi inaweza kukopa hela zote hizo na isiendelee kweli? Hayo mahela yanajenga vitu vingi mno. Barabara, bandari, hospitali, shule na...
As salaam alaykum
Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea.
Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv...
Habari ndugu,
CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04).
Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu...
Hawa viumbe, mbali na changamoto zao mbalimbali, wana baadhi ya sifa ambazo kwa kweli zinaweza kuwasaidia sana kimaisha.
Sifa ya kwanza: Wanawake wanajipenda.
Kihisia, kiuchumi na hata kwenye mazingira yanayowazunguka. Mara nyingi wanajipa kipaumbele kwenye mambo yanayowahusu na wanajitahidi...
Mwaka 2025 nilipitia changamoto kubwa sana maishani mwangu, hali iliyosababisha kupata msongo mkubwa wa mawazo. Kutokana na hali hiyo, nilifanya uamuzi wa kuchukua mkopo wa shilingi milioni 20 ili kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba, nikiwa na lengo la kupunguza gharama za maisha na kupata sehemu...
Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi kutoka nje ya mkoa ninao ishi ambao ni Dodoma.
Nimefuatilia na ikajulikana traffic aliyefanya hilo kosa...
Nchi inaendeshwa na bajeti ya mikopo ,tutegemee siku moja mabeberu kuja kututawala tena .
Watanzania ni lini wataambiwa takwinmu za deni na watasikia deni likishuka chini na siyo kila takwimu inapotolewa ni kuongezeka kwa namba tu hivi wewe kama kiongozi huoni AIBU.
Zaidi ya Trilion 100........
Wasalaam,
Mnaohusikia na mambo ya Uchumi wa Tanzania someni hii stari kwa mstari, Sikuwa naelewa anachofanya Kafulila kupitia hii taarifa nimeanza kumwelewa.
Katika bajeti ya Rwanda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Rwf 7.8 trilioni ($5.3 bilioni), sekta ya Ushirikiano wa Sekta ya...
KWA LEO TUANGAZIE BAJETI YA NCHI KWA UPANDE WA MADENI 2026/2027
Pamoja na changamoto lukuki zilizopo kwenye nchi yetu tutoe maoni yetu kuhusu Hili haya madeni yanaonyesha kuongezeka bila kupungua
Hizi ni Kodi zetu tuna haki ya kutoa maoni na pengine kushauri Nini kifanyike kuiweka nchi rehani...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wasimamizi wa mirathi ya marehemu mfanyabiashara Zacharia Hans Poppe, pamoja na kampuni ya ZH Poppe Limited.
Wasimamizi hao walikuwa wakiomba zuio la muda dhidi ya Benki ya Biashara Tanzania (TCB)...
Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6.
Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia kifaa kama hicho hapa mjini wanauza 150.
Hiki kifaa bila kuwepo ofisini ni sawa tu na nimefunfa ofisi...
"Kuna tuhuma ya wizi wa kutisha kwenye mikopo ya serikali ambapo kwa miaka mitano iliyopita deni la serikali limeongezeka kutoka trilioni 60.7 Machi 2022 hadi trilioni 115.2 Februari 2026, sawa na ongezeko la trilioni 54.3. Deni limeongezeka kutoka ukuaji wa wa asilimia 7 hadi ukuaji wa asilimia...
Sekta ya 𝗠𝗦𝗠𝗘𝘀 nchini Tanzania ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wetu, lakini pia ndiyo sekta inayobeba kiwango kikubwa zaidi cha “𝗰𝗮𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹 𝗺𝗼𝗿𝘁𝗮𝗹𝗶𝘁𝘆” — yaani kufa kwa biashara na kupotea kwa mtaji kabla biashara haijakomaa.
Tafiti zinaonyesha kuwa SMEs zinachangia takribani 𝟵𝟱% 𝘆𝗮 𝗯𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝘇𝗼𝘁𝗲...
Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia.
Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2
Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k.
Niliwahi kujaribu kutupia nyavu lakini niliambulia virungu vya ugoko na kuishia kuwaita mashem...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh...
Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni
Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 — kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya uchumi wa dunia. Deni hili linahusisha mikopo ya serikali, kampuni binafsi pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.