mwanangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanangu usiniletee single maza

    Habari Wana JF Mwanangu usiniletee single maza🙏 Hii nikauli iliyotoka kwenye kunywa Cha baba yangu nilipomueleza kua nataka kuoaa. Ipo hivi nilipata kazi mwanza miaka miwili iliyopita na katika harakati za kazi nilikutana na bint aliezalishwa mtoto mmoja,tulikua marafiki na meishowe tuliingia...
  2. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Niki wa Pili ameshow love kwa Binti yake mzuri

    Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae. Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.
  3. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Wenzake na Mwanangu wanamtania "Huyu ni Babu yako"

    Leo katika pitapita zangu, nikaona nipite nimchukue binti angu. Basi bana watoto wakaniona nimepaki nikashuka kwenye Vogue, nikazunguka nyuma yao. Wakaanza kumtania mwanagu, Neema(code) huyo ni babu ako? Binti nikamuina alijisikia vibaya sana. Ndani ya sekunde wanashangaa mwenzao anaingia...
  4. Bawabu wa pili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuoa, maisha yaliendeleaje mwanangu?

    Usijali huu uzi nitaufuta we nambie tu ulivyooa maisha yaliendeleaje? Huenda ukaniponya mwanangu, ilikuaje baada ya hapo, nasubiri comment yako!
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nirudishieni Mwanangu

    Hii kauli ameitoa mama mmoja kwa uchungu.......tupo maelfu wa wazazi tunaugua mioyoni pasipo kutamka. ENYI WAHUSIKA MLIOTENDA HAYO... HAKUNA NAMNA MTAKWEPA HII LAANA.
  6. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA. Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako. Taifa halihisi. Mfumo hausikii. Wanakuangalia tu na kusema: "Asante kijana kwa kupunguza mzigo-mafuta tumeyaleta, nguvu zenu hatuzihitaji sana, mnapojiondoa ndio tunafurahi zaidi." Sasa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Leo radi zinapiga sana, Mwanangu wa Miaka 3 nimefurahi aliponiuliza kama ni mabomu

    Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi. Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana. Mwanangu sasa hata Mlio wa mabomu haogopi tena. Kabla alikuwa anasikia radi tu anaanza kulia...
  8. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mama Heche nina maradhi ya moyo, kwanini mwanangu anafichwa?

    Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea” Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche.
  9. technically

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaandamana nikifa Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume

    Mimi Ni kijana wa miaka 30 na Ni baba wa mtoto mmoja wa kiume mwenye miaka 4 Tarehe 29 nitatoka kuandamana na kisu changu Cha kimasai na elementi kichwani Nawaambia ndugu na marafiki wa karibu Kama sitarudi Mali zangu zote apewe mwanangu mpendwa wa kiume ili kizazi chake kije kuishi vizuri...
  10. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

    Wadau mi ni mtu mzima wa miaka 29, Kuna binti nilikuwa na mahusiano nae mpaka tukaanza kuishi pamoja. Kabla ya kuishi pamoja nilimpa ujauzito kwao wakaja kujua, binti alifokewa na kwao walimkataa asiende baada ya kumaliza chuo, Nilimhudumia ujauzito Lakini Mungu akasaidia kwao wakarudisha moyo...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ameshakariri wimbo wa methali mchanganyo. Walimu mna kazi

    Ukiskia mtu anakwambia ualimu ni shughuli pevu, shughuli yenyewe huanzia hapa. Mwanangu ndo kashakalilishwa hivyo. Ukimuuliza Mtaka cha Uvunguni, anakwambia matrako hulia mbwata Na hili nalo mkalitazame kwa kina...
  12. Hammer11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka nane bila mtoto kujaribu kwa jirani imo namtaka mwanangu hataki

    Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji. Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga kijijin kwao ni hatari gusa unate tulienda kule nimetumia hela nyingi mke wangu ametumia dawa mwaka...
  13. Bueno

    JamiiForums Tanzania Zingatia ninayokwambia Mwanangu

    Kwenye haya maisha usipokua Mbishi na ukaishi kibishibishi popote unapoenda ukakaa ukakubari tu watu wakuoneeonee kibwegebwege, mwanangu unakubari tu kila mpuuzi anachukua maamuzi ya kukuoneaonea tu kirahisi rahisi tu unamuacha mjinga mmoja anakuoneaonea na wewe umekaa tu unamwangalia. Sawa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje mwanangu ndoto yake ni kuwa polisi

    Habari ya jion Leo mchana nimejarbu kumuuliza Binti yangu ndoto yake ni ipi katika maisha yake huwezi amini anasema atamni kuja kuwa POLISI Je kama mzazi naweza kubadili au kisitisha ndoto ya mwanangu binafsi natamani mwanangu awe hata nesi au mfamasia sasa hii ndoto ya kuwa POLISI...
  15. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana boda Morogoro anipelekee mzigo Kwa mwanangu Mzumbe shule?

    Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
  16. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

    Hii kada ndio ilikuwa chaguo No.1 kwa mwanangu nyuma ya TPA na Jeshi la Wananchi kwa pass ya Division 2 ya Point 19, Intake ya mwaka 2023 Ila kwa hali ya nchi inakoelekea sihitaji mwanangu atengwe na ndugu zake kisa kusomea hii kozi. Majibu ya awali yametoka na "najua ataenda tu Chuo cha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana korodani kubwa sana

    Habari wapendwa Naomba ushauri mwanangu ametimiza wiki tatu tangu kuzaliwa. Kinachonitisha korodani zake ni kubwa kulinganisha na udogo wake. je atakuwa sawa au kuna tatizo? Naomba msaada wa mawazo sijawahi kulea mtoto wa kiume
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mwanangu analia sana wakati wa maombi

    habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi. tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima. sijui nini shida. nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nimemshauri mwanangu akimaliza tu masomo awe polisi

    Acheni masihara jamani, polisi wanaishi kwa raha sana inchi hii, Nimeipenda sana hii kazi, mwanangu nakuusia tena, ukifuzu tu fanya kazi ya upolisi
Back
Top Bottom