kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini dhana kuwa, 'ukilala ukiwa umenyooka unaweza kushinda kirahisi ndotoni'

    Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk. Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi...
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kama kidume unapojenga nyumba kabla haujavuka miaka 35 unajiona mwamba, ni feeling ya kibabe sana kushinda ile ya kuhimili round moja kwa dakika 10

    Mapambano mema hustlers!
  3. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Arsenal Kushinda Ubingwa ni dalili kuwa EPL imeshuka viwango

    Arsenal ni sawa na JKT au TRA! Matusi hayaruhusiwi hapa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ki Mungu za Kushinda Uraibu (Masterbation, porn, pombe nk)

    KanKanuni ya Kwanza Kutojihurumia Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa. — 1 Wakorintho 9:27 Watu wengi ambao wamekuwa na tabia za kujirudiarudia au uraibu wa kitu fulani, wamekuwa na tabia ya kujionea huruma. Kuna mtu...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siasa za picha mitandaoni ni kujifariji na kujidanganya tu, kiukweli hazijawahi kusaidia chama chochote cha siasa kushinda uchaguzi.

    Mfano hapa Tanzania, kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Leo Simba ana uwezekano Mkubwa sana wa kushinda, nitawachambulia kwanini,

    Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba. Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge.. umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ado: Imenigharimu milioni 30 kushinda ubunge jimboni kwangu

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amesema imemgharimu milioni 30 za Kitanzania kushinda ubunge katika jimbo hilo Kwanza kabisa mazingira ya kisiasa yamebadilika sana ukifanya uchambuzi wa miaka 30 ya Demokrasia ya vyama vingi uwekezaji kwenye siasa umekuwa ukibadilika kutoka...
  8. masai dada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

    Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi Ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
  9. The ghost writer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka, uliwahi kushinda kiasi gani kikubwa cha pesa?

    Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo, Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa... Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu. Kilichonisaidia...
  11. 888I

    JamiiForums Tanzania Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kuhusu vitambi, sababu zake na namuna ya kushinda

    Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu 1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi 2.MaumbIle ya mtu Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya...
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Toka dunia iumbe hakuna raisi aliyewahi kushinda kwa asilimia 98%

    Mfano mzuri hapo uganda pamoja na kwamba museveni amekaa madarakani muda mrefu lakini uchaguzi huu ana asilimia approximation 78% japo kuwa na yeye ni janjajanja atleast kidogo sasa huyu wetu daah 98% kweli? Hahahaha Hizo takwimu lzm dunia ishituke haiwezekani na haitowezekana kamwe tume ya ccm...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

    1: Uturuki 🇹🇷 2: China 🇨🇳 3: Russia 🇷🇺 4: Iran 🇮🇷 5: Qatar 🇶🇦 6: Pakistan 🇵🇰 Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila ya kutegemea dola CCM haiwezi kushinda uchaguzi

    Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya. Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli za kisiasa za vyama pinzani kwa CCM wakati wa uchaguzi. Itokee kuwe na tume huru ya uchaguzi...
  16. TIASSA

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna yeyote aliyewahi kushinda bahati nasibu ya Gesi ya Orxy?

    Ni miezi kazaa SASA tangu promosheni hii ya Gesi yente Kwangua ushinde imepita, ila sikuwa kusikia mtu kashinda hata kikombe, Kwa zile zawadi walizo weka pale kwenye ile sticker . Je, wakuu kuna yeyote aliyewahi kushinda?
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania McLaren wamepokonywa point kwenye Las Vegas GP. Nafasi ya Max Verstappen kushinda taji la Driver Championship bado kubwa!

    Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika. Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
  19. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Hongera Clement Mzize kushinda Goli bora (CAF)

    Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amefanikiwa kushinda goli bora la mwaka Afrika
  20. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
Back
Top Bottom