nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ubungo Riverside wapewe maua yao, huduma nzuri

    Huduma nafuu, usalama na ya viwango. Tutarudi tena
  3. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Interview with Maxence Melo: The story of JamiiForums - history and operations of the platform

    Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi. Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinatoa kozi ya Master's ya Project Management nzuri hapa Tz

    Habari wakuu kutokana na kutingwa na Majukumu sana na hivyo sitapata muda mwingi wa kukaa darasani Nilikuwa nauliza wapi au chuo kipi ninaweza Soma Master's ya project management ambayo ni executive ili isinibane sana kuendelea na majukumu mengine ya kimaisha Ahsante
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania dental formula yako inavutia? Leo nimeambiwa nina dental formula nzuri

    Nilikua naongea na mdada (co-worker), sasa akawa ananiangalia sana kama kuna kitu ame note, baada ya muda akaniuliza, nikuambie kitu? nikamwambia sawa nambie, akasema yani una dental formula nzuri kweli, we unajua maana ya dental formula? majua kuna watu wengi humu hawajui maana ya dental...
  8. R

    JamiiForums Tanzania MPYA Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha

    Mchanganyiko wa limao, mchaichai na tangawizi ni chai nzuri ya kusaidia kudhibiti presha (hasa kama sehemu ya mtindo bora wa maisha), ingawa si mbadala wa dawa kama una presha tayari ya muda mrefu. Hivi ndivyo unavyoweza kuutumia kwa ubora zaidi na kupata matokeo ya kudumu: Kwa nini...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

  10. M

    JamiiForums Tanzania WADAU WA PROCUREMENT: NI TAASISI ZIPI TANZANIA ZINA ‘MAOKOTO’ HALISI—SALARY NZURI + SAFARI/PER DIEM?

    Wakuu, naomba uzoefu na facts kutoka kwa watu waliowahi au wanaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali Tanzania, hasa kwenye eneo la Procurement/Supply Chain. Kuna taasisi ambazo kwa nje zinaonekana kawaida, lakini ndani yake zina salary scales nzuri, procurement activities nyingi, field...
  11. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaohangaika na Dini ipi ya kweli sijui dini ipi nzuri jifunze hili.

    Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simu nzuri

    Nataka OPPO RENO 10 5G ipoje hii simu hasa kioo,speak chaji nk Mad Max
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tukiamua kua na Consistency nzuri ya Siasa za Kiharakati, CHAN 2027 isingefanyika Tanzania !!. Ni vile tunaingia kwenye Mfumo wa CCM

    Jambo Moja la Uhakika ni kua, CCM hasa hili Genge lao la wahuni, linatabirika , sio watu ambao Wana Akili. Tungeendelea kufanya Siasa ambazo, zinawalazimisha Kufungulia watu Kesi za Ugaidi, kuita watu Magaidi, Kuteka na kuua watu . Mpaka tunafika 2027, kusingefanyika AFCON
  14. T

    JamiiForums Tanzania AI Bora yenye uwezo wa kubadilisha maandishi ya Kiswahili kuwa Audio

    Habari watu wa humu, Hebu nipe pendekezo la AI bora kabisa yenye uwezo wa kubadilisha maandishi (text) ya Kiswahili kuwa audio, yenye lafudhi ya kiswahili fasaha na cha Kitanzania. tf.
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji jersey nzuri kama fahari yetu sote!

    Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu. Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo! But why not this one!
  16. Think2

    JamiiForums Tanzania Msemo wa Dudubaya sasa wafika shuleni hii ni hatua nzuri sana kitaifa

    You Bella wochi u a baki
  17. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Huyu Tlaatlaah inaelekea analipwa pesa nzuri kuliko Lucas Mwashambwa

    Huyu Tlaatlaah amejitoa akili kabisa, anaishi sayari nyingine kabisa. Inaelekea ametokea familia fukara sana na ghafla ameitwa kwenye meza ya wakuu kula makombo, kama mnavyojua tena wakuu hawali wakamaliza kwahiyo wanamwachia yeye. Kwa upande mwingine bwana Lucas Mwashambwa ametokea kwenye...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Wakili Aloyce Komba: Lissu ana kesi nzuri, mashahidi wa IGP, CDF na DCI walikuwa wa kuongeza tu

    Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  20. chongchung

    JamiiForums Tanzania Mteja wa nondo bei nzuri

    Habari wadau Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi Njoo nipe specifications za mzigo unaoutaka tufanye biashara haraka.
Back
Top Bottom