bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sabasaba ijayo tuuze bidhaa za madini yetu kwenye maonyesho.

    VIwanja vya Sabasaba iwe ni eneo ambako bidhaa za madini yetu kama mikufu, heleni, bangili na pete vinavyotokana na madini yetu vinauzwa kwa wingi na kwa bei nafuu. Kama tutafanya hivyo tutakuwa tumefanya mapinduzi kwenye madini yetu badala ya hali ilivyo sasa ya kuuza madini ghafi na...
  2. Billion Dolar

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

    Habarini, nimejiunga na forever living, na sasa ni manager, ila mda wa kufanya hizi biashara mm sina. Nlijiunga kwa ajili ya matumizi yangu tu. Ila naona kama kuna fursa ya kupiga hela. Natafuta mtu mwenye uzoefu na biashara ya networking.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  4. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja?

    Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja. Mfano Bidhaa A ina faida mara 3 Bei ya mtaani rejareja 30,000 Bei ya chimboni ni 10,000 Bei ya bidhaa B faida ni mara 18 Bei ya rejareja ni 18,000 Bei ya chimboni ni 1000 Kama hali ni hiyo faida wanayopata ni kubwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Mobhare Matinyi Atembelea Wazalishaji wa Mashine za Bidhaa za Kilimo Algeria

    Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akiagana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya CAM SARL, Bouzid Belhad, ambayo hutengeneza mashine za kusindika na kufungasha dawa na mazao ya kilimo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa CAM, Abderraouf Belhadj, na kulia ni...
  6. Mechanic 97

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza bidhaa za kidigital kupitia whatapp

    Wakuu naombeni maoni, biashara niliokua nimeeinza Sina uzoefu nayo vizuri. Hivyo nimeamua kurudi kwenye biashara ambayo nilishawahi kuifanya ila Sasa nataka niifanyie online kupitia whatsapp. Hivyo wakuu naombeni ushuhuda mliowahi kufanya biashara za bidhaa za kidigital mfano movie, mikeka...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO TBS ni mzigo Bandarini, inazalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa

    Mfumo wa utendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta foleni kubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana ku-clear mizigo ya wateja wao. TBS wamekuwa ni jipu sidhani kama Hayati MAGUFULI angekuwepo utendaji...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza kupata bidhaa za electronics za makampuni haya?

    Toshiba Aiwa Grundig Phillips Panasonic Toshiba Hitachi JVC
  10. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Hivi Jamii Forums haiwezi kutengeneza Bidhaa (merchandise) zake zikaitwa jina moja tu Jamii

    Nimetest hii AI yangu ya kichovu wamba njooni mtie nyama 😃
  11. Pumpkin girl

    JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania KANDA YA ZIWA NA MAGHARIBI: SERIKALI ITUAMBIE KWANINI BEI NI JUU?

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji. Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Makwaliti, matelephone ma sijui nini elewa hapo inauzwa bidhaa feki

    STUKA! Maneno haya yanaweza kukuelekeza kwenye biashara ya bidhaa feki Ukisikia muuzaji akitumia maneno kama: “Makwaliti” “Matelephone” “Original kabisa” “Dubai” “Grade A” “Masaiti” “Boss Kweza” “Kama Kariakoo” …au anazungusha maneno mengi sana huku akiweka vispika vile vya kurekodi na...
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Nanenane yageuka Jukwaa la Bidhaa za Wafanyabiashara badala ya Wakulima

    Nanenane ni siku ya wakulima kuonyesha bidhaa zao za kilimo, ikiwemo teknolojia za kilimo ambazo zitawasaidia wakulima kuongeza ufanisi katika kilimo. Lakini siku za hivi karibuni, maonyesho haya yamevamiwa na wafanyabiashara wasiokuwa wakulima, jambo ambalo limesababisha kwa kiasi kikubwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na mfumo wa kuhakiki bidhaa original kwa kuscan stika za TRA, mchakachuaji hawezi kuprinti stika na kuibandika kwenye bidhaa feki ?

    Chukulia mfano, mchakachuaji ana kiwanda bubu cha kutengeneza pombe feki. Je hawezi kwenda dukani kununua chupa original au na kubandua hio stika kisha kumpa mtaalamu wa mambo ya printing amtengenezee stika hata 1000 ? Mteja kabla hajalipia bidhaa anascan QR code, kitu kinasoma freshi tu kumbe...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wakuu, mnapambana vipi na changamoto za ununuzi wa bidhaa nje ya nchi?

    Wakuu, katika harakati zangu za biashara, nikakutana na kampuni B mtandaoni. Kutokana na bidhaa zao walizozichapisha kwenye ukurasa wao, ziliweza kunivutia sana na kunishawishi kufanya nao biashara. Nikapiga mahesabu, mpaka nizilete hapa bongo, naweza kupata faida mara mbili. Nikawasiliana...
  17. bless on

    JamiiForums Tanzania Bidhaa 5 za Teknologia zilizoko mbele ya muda sana

    Binadamu amefikia hatua ya kushangaza katika kutumia sayansi na teknolojia kuunda bidhaa mahiri zinazorahisisha maisha, kuokoa muda na kupanua uwezo wa asili wa mwanadamu. Kile kilichokuwa ndoto ya mbali sasa ni uhalisia unaoshikika. 1. Friji kama Samsung AI Fridge haihifadhi chakula tu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
  19. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoagiza bidhaa au wanaoishi China; hivi kuna bidhaa ambazo ni original kweli zinazotokea huko?

    Nimekuwa nikiona watu wengi wakizilalamikia bidhaa zinazotokea China kuwa ni feki na hazina ubora unaohitajika, je haya maneno ni ya kweli au kuna bidhaa baadhi ni original? Wajuvi wa mambo haya mtusaidie katika hili. Mad Max adriz de mbusii min -me
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafundisha jinsi ya kuagiza bidhaa china

    Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu. Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia. Kwenye mafunzo yangu utajifunza: 📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini 🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika 💳 Namna ya kulipa salama 🚢...
Back
Top Bottom