Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya...
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,
Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.
Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa...
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu.
Simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia...
Hodi hodi jukwaani kwa Waungwana wana JF,
Nitumaini kwa ukarimu wenu nyote mmesema karibu mgeni.
Nami naingia na kuanza kutoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Jamii Media Inc kwanza...
Habari ndg zangu wana jamii, nimekuwepo hapa kitambo, kwa nafasi hii ya matangazo naendelea kutangaza kazi zangu zinazo husiana na masuala ya rangi.
Wasiliana nami kwa no 0766111212
Bedside size 4×6
Rangi zilizopo ni kijivu, ugoro, pink, nyeupe, samawati.
Bei 35000
Material ni zuri sana,
Kutoka Thailand na Uturuki
Mawasiliano 0628935034
Nauza mkoba wa kuwekea documents na laptop.
Umetemgenezwa na material safi na ndani una sponji nyepesi ambayo haivunji PC Yako na haiingizi maji kabisa.
Bei ni 40000tshs
Nipo Dar derivery ipo...
R J EDUCATION SERVICE.
Ndugu Mzazi /mlezi ,Tunafurahi kukutaarifu uwepo wa walimu wabobezi ,wenye uzoefu wa miaka 15 katika ufundishaji.Tunafundisha wanafunzi wa Madarasa yote kuanzia Msingi...
Karibu sana kwenye ukulasa wa Dovillen Property.
Kama unahitaji kuuza au kununua nyumba, viwanja,yard, maeneo ya kujenga petrol station nk
POSTA,UPANGA, MASAKI, MSASANI, MIKOCHENI, MBEZI BEACH...
Kuna tangazo humu niliona kuna kampuni wanauza site za migodi mbalimbali ya graphite na makaa ya mawe ila nimejaribu kusearch thread sijaipata.
Well Nina offer hiyo kwa anayemiliki mgodi wa makaa...
Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo
Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana
Dar es salaam
Dodoma
Mwanza...
Ni fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zetu ni nafuu kulingana na uchumi wa mtanzania.
Pia...
BRAND NEW
2023 HOWO 400HP DUMP TRUCK
Bei: 156,000,000/= pamoja na usajili
Gari 5 zipo njiani zinafika bandarini tarehe 20 mwezi wa sita.
Weka order Mapema
Piga/Whatsup: 0757930069
KARIBU SANA MPENDWA MTEJA WANGU
Leo nimewaletea uzi huu kwaajili ya mashuka pekee, bei na size ni kama ifuatavyo;-
[emoji837]Size 6"6 sh.22,000 (Shuka 2 na Pillowcases 2)
[emoji837]Size 6"7...
Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni.
BEI ZA LOGO
80K= Logo+B Card+Letter head...
Habari zenu Ndugu zangu, Nahitaj Gimbal ambayo Naweza kuitumia kwenye sim ,Km kuna mtu anajua duka zinako Uzwa Tafadhari Anisaidie,Hasa kwa MWANZA, SHINYANGA NA KAHAMA
SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+
1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=.
Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja...
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...