kabudi

Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who currently serves as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs since April 2021 appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

    Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari. Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Katika vitabu navyo visubiri kwa hamu ni Cha professor wa Kabudi

    Huyu Mzee nilivutiwa nae sana kabla ya kuingia serikalini. Nachotaka kujua ataandika nini kwenye kitabu chake jinsi alivyobadilika kutoka Kabudi yule mpaka huyu wa kutetema kama Mayele.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Dk Chakwera apokea ombi la kumtembelea Lissu gerezani, akutana na CHADEMA, ACT, Prof Kabudi

    Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera leo Aprili 10 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya vyama vya siasa na watendaji wa Serikali jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa vyama alivyokutana navyo ni CHADEMA kilichoongozwa na Makamu...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kabudi abebe kila kitu cha Lukuvi ikiwemo kuwa zamu yake kufuatia

    Palamagamba Kabudi ni kiraka kikubwa cha Idi Amina Mama. Tangu alipojikomba kwa Magu, amekuwa akiendeleza mchezo huo ambao uliasisiwa na Lukuvi alipomruka Lowassa na kujiunga na Magufuli. Je, amejiandaa kufuata kwa lolote kama Lukuvi? Namtakia kila heri kwa lolote na kumshukuru sana mpendwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuondoa dhana ya uchawa, Prof Kabudi ajiuzulu kama Yule wa US

    Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kabudi akijitambulisha kwa Papa: "Nimesoma St. Augustine".

    Hawa viongozi wetu wanalitia aibu Taifa sana. Hivi hawakujua kabisa kwamba kabla Papa hajaonana nao tayari alikuwa na full CV zao? Ama ni katika kujikombakomba ili muonekane hamna tatizo na Katoliki na mmepata elimu zenu kwenye taasisi zao! Halafu hawa mapicha picha ya kuchanganya mchanga na...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi Kabudi ndo Mkuchika mpya? Hivi Mkuchika Yu wap?

    Swali lipo hapo juu lijubu tyu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na Kabudi wakutana na waziri wa mambo ya nje wa shirikisho la Urusi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Leo tarehe 19 Desemba, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi walikutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

    Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kabudi: Tunamshukuru Rais amekuwa mfariji mkubwa wa Taifa letu

    Kabuni amesema anmshukuru sana rais samia kwani amekuwa mfariji mkuu wa Taifa wakati anafungua bunge kwa kulilia maisha ya watanzania ambao wamefiki "Bila hatia" Pamoja na kumsifia Mwigulu akisema ni mara tatu hii anamsikia akiongea kilio cha maisha ya watanzania walioondoka "ambao hawana...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Huyu Profesa Kabudi aliyesema anawaogopa watanganyika kuliko wazanzibari, akikutana na wa sasa watapigana sana

    Profesa Palamagamba Kabudi aliwa kusema, "Ninawaogopa sana watanganyika kuliko wazanzibari, kwa sababu wazanzibari mambo yao yoote yapo mezani, watanganyika wameyashika moyoni watu wa namna hiyo wakija kugeuka ni wabaya"
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tuombe mdahalo Prof PLO Lumumba vs Prof Kabudi

    Tuombe mahojiano kati ya Prof Lumumba na Prof Kabudi kuhusu demokrasia na katiba. wote ndiyo wabobeaji wa sheria wa EA ingawa mmoja ni chawa na mtoa macho mkubwa. Hii itasaidi tujue tunaenda wapi kwa hoja. https://youtu.be/QLp9ydc6K3I?si=ipvBzt3KHGEhw2sj
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

    Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani? Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  16. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi, tumejitokeza kiwanjani - what's next?

    Wananchi ni wazalendo Wachezaji ni wazalendo zaidi Viongozi ni wazalendo kiasi Sasa:- Mpira ni uwekezaji, tena wa muda mrefu - ili tupate ushindi. Leo goli la mguu limegoma; Goli la kichwa limegoma; Goli la mkono nalo limegoma! Watanzania wanaumia!
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabudi: Waandishi wa habari jiepusheni na habari za uchochezi, na upendeleo kipindi cha uchaguzi mkuu

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akifungua Mafunzo ya Waandishi wa Habari na Utangazaji Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 tarehe 18 Agosti 2025 katika Ukumbi wa City Garden, jijini Mbeya
  18. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Sakata la uchaguzi mkuu TFF, Naibu Waziri MwanaFA amkingia kifua Karia, waziri Kabudi aingilia kati

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Paramagamba Mwaluko Kabudi amelazimika kuingilia kati sakata la uchaguzi mkuu wa TFF baada ya Naibu Waziri wake Hamis Mwinjuma "MwanaFA" kushindwa kuyafanyia kazi mapendekezo ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Taarifa kutoka Wizara ya...
  19. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi Asisitiza Ushirikiano wa Serikali na Wadau wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Jee Utabiri huu wa Prof. Kabudi Unaelekea Kutimia? Inaelekea Wanaccm Wengi Hawayajui ya Romania, Wafundishwe

    Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM. Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea? Jee watawala...
Back
Top Bottom