Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January
Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019...
Narudia kwa mkazo wakati natoa wito kwa wagombea, wanachama na mawakala wa wagombea kuzingatia katiba kanuni maadili na itifaki ya chama katika mchakato mzima wa uchaguzi.”
“Hata hivyo katika kipindi hiki cha uchukuaji na urudishaji fomu kumejitokeza vitendo ambavyo vinaashiria kuvunjwa kwa...
Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika.
Huyu ni mtu...
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma
Taarifa kamili hii hapa
Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama
"Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari muda huu, Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam.
Fuatilia live mazungumzo yake hapa
https://www.youtube.com/live/toK4jk5NCAo?si=heoTafP2I9zGwBWT
CHADEMA yatoa tamko la Uchaguzi wa Kitaifa kwa mwaka 2024...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameonyesha mshangao wake kufuatia maagizo yaliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, kuhusisha Jeshi la Polisi katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Wakuu nimekutana na video inayosambaa kwa kasi sana mtandaoni ambapo wanaonekana John Mrema na John Mnyika, na Mrema akisikika kuwa atatoa maoni juu ya usafiri huo mara baada ya safari kukamilika lakini kinachonipa utata ni sauti inayosikika katika video hiyo baada ya Mrema ikisema viongozi hao...
Mnyika kajifunza mengi kwa Lissu ,Mbowe , Slaa na wengine hivyo ashakomaa na nadhani 2025 atatufaa zaidi .
1.Mjasiri
2.Mtu mwenye busara
3.Mtu mwenye uelewa mkubwa na asie kurupuka .
Upinzani mtuandalie mtu huyu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa wito kwa Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kuzingatia suala la kupanda kwa gharama za maisha. Mnyika amesema hali hiyo ni sehemu ya athari mbaya za kiuchumi...
Kutoka Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi ya UVCCM taifa
Majibu kwa Madai ya John Mnyika,Katibu Mkuu wa Chadema.Ukweli Dhidi ya Upotoshaji
1. Ukweli kuhusu Mamlaka ya TAMISEMI
Madai ya John Mnyika kwamba TAMISEMI imepokea majukumu kinyume na sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi ni upotoshaji wa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameishutumu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kutoshughulikia ipasavyo suala la kutangaza na kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwaajili ya uchuzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa CHADEMA ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa.
Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.