heslb

 1. M

  HESLB na Utumishi kuna nini kati yenu?

  Naendelea kupata ukakasi kutoka vyombo hivi viwili. Mwenye mamlaka ya kukata fedha za mtumishi ni mwajiri kwa mkataba maalumu pale inapohitajika. Nirudi kwenye mada, bodi na utumishi wamewabambikia watumishi madeni ya HESLB. Ukiuliza bodi wanadai hawahusiki na risiti za mishahara, utumishi...
 2. Msingida

  HESLB loan refund: Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi japokuwa nilikamilisha hatua zote

  Tunaishukuru Serikali kuondoa adhabu kwenye deni la bodi ya mikopo elimu ya juu. Kuna waliorejesha na kupitiliza, wanahitaji kurejeshewa kiasi kilichozidi baada ya kulipa deni. Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi, japo nilikamilisha hatua zote za "loan refund"...
 3. The unpaid Seller

  Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

  Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan board hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu. Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni. Awali mwezi uliopita deni...
 4. M

  Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

  Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
 5. A

  Kwa hili la HESLB ingekuwa kwenye mamlaka ya Hussein Mwinyi, Mkurugenzi angeshatenguliwa

  Sina nia ya kupuuza juhudi za Mh. Samia Suluhu amiri jeshi mkuu. Ila ameonekana kucheka na wazembe. Kwa namna ninavyoona mwenendo wa Mh. Hussein Mwinyi kule Zanzibar,ninauhakika angekua na mamlaka juu ya HESLB angeshatengua uteuzi. Na angevunja menejimenti yote ya HESLB Tena hao wachunguzwe...
 6. A

  Maswali kwa mkurugenzi wa HESLB ndugu Badru

  Mpaka kufikia leo January 9/2022 baadhi ya wanachuo hawajapewa mikopo tangia wamefungua vyuo yani wengine wanakaribia kusaini awamu ya pili wapewe fedha,wengine walisha saini ila hawajapewa fedha zao za awamu ya kwanza mpaka sasa. Je wewe mzee unataka nini hasa kwa watoto wa wanaume wenzio? Je...
 7. Panctual Fwenga Boy

  Bachelor of accounting and finance (BAF) kupitia diploma in accounting and finance (DAF) as qualification ina mkopo toka HESLB?

  Wazee wa "ceteris peribus" habarini. Bila kuwapotezea muda naomba kujua endapo kama bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) huwa wanatoa mikopo kwa wanafunzi wanaosomea bachelor of accounting and finance mathalani waliopitia diploma ya accounting and finance? Au wanufaika wa mkopo...
 8. Analogia Malenga

  Prof. Bisanda aomba HESLB kufadhili wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria, mwaka huu wametoa mikopo kwa wanafunzi saba pekee

  Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Prof Bisanda amesema wanakumbana na changamoto ya Bodi ya Mikopo Kutowatambua wanafunzi wa Chuo hiko, hivyo hutoa mikopo kwa wanafunzi wachache ambapo kwa mwaka huu wametoa mikopo kwa watu saba tu. Amesema gharama inayotumika kusomesha wanafunzi watatu...
 9. LUS0MYA

  Unahitajika ukaguzi wa dharura bodi ya mikopo ya elimu ya juu

  Waziri anayehusika atoe amri ya ukaguzi wa dharura na kutumia vyombo vya usalama na TAKUKURU kwa kuwa kuna viashiria vikubwa ya matumizi mabaya ya fedha na utoaji mikopo mwaka huu licha ya serikali kusema kuwa imetenga bajeti kubwa zaidi kuliko miaka mingine. 1. Idadi ya wanafunzi walioomba...
 10. Shombe la Kisomali

  Taharuki iliyopo sasa vyuoni kuhusu HESLB

  Ndugu wadau wa elimu habarini za mda huu, Tangu kuanza kwa wiki hii inayoelekea weekend kumetokea na taharuki kubwa kwa vyuo mbalimbali hapa Nchini na inaendelea hadi da huu wanafunzi wengi tuko midomo wazi. Issue iko hivi, baada ya vyuo kufunguliwa na wanafunzi kuanza masomo bodi ya mikopo...
 11. F

  Msaada: Nahitaji kuappeal mwaka huu HESLB na sijafanya usajili bado na kwenye appeal form wanahitaj reg no, nafanyaje hapo?

  Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
 12. A

  Shaka Hamdu Shaka ziara yako HESLB ni mashaka matupu, mamlaka za juu zikusaidie

  Ikumbukwe kwamba hivi karibuni katibu wa CCM itikadi na uenezi ndugu Shaka alienda bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu(HESLB) akitaka kujua ukweli wa mambo juu ya wahitaji kutopata mikopo hivyo malalamiko kuzidi kua mengi. Baadhi ya wahitaji wamefika ofisi za bodi lakini watumishi...
 13. N

  Badru wa HESLB tambua wote ni wahitaji epuka matabaka!

  Hivi karibuni niliandika uzi huu: https://www.jamiiforums.com/threads/bodi-ya-mikopo-elimu-ya-juu-heslb-wanatokaje-awamu-hii.1922083/ Hata hivyo Badru bado anajisifia kuwa walioangaliwa Zaidi kwenye mikopo ni wale watoto wenye uhitaji zaidi wanaotoka familia duni. Ukweli hajui watoto wa wale...
 14. J

  Shaka atua Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka Jumanne 26 Oktoba, 2021 ametembelea Ofisi za Bodi ya Mikopo ya wanafunzi elimu ya Juu zilizopo maeneo ya Tazara Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa bodi hiyo. #ChamaImara #KaziIendee
 15. B

  Ni wakati wa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB) kubadilika

  Nafahamu mpaka sasa upangaji wa mkopo kwa wanafunzi unasuasua japo mnaeleza pesa mnayo bil 570 wanafunzi nusu ya zaidi ya waliomba hawajui hatma yao (mnachelewa). Kupanda na kushuka katika maisha ni jambo la kawaida kwa mfano familia ya mzee kiyoyozi miaka 20 nyuma ilikua nakipato kizuri na...
 16. Abdul Nondo

  Bodi ya Mikopo wasijibu kwa ujumla ujumla Kiwango kidogo cha mikopo kwa wanafunzi

  HESLB wamejitetea kwamba kiwango cha chini cha mkopo walichotoa kwa mwanafunzi ni Tsh2,099,500. Hi ni taarifa ya jumla jumla na haina msingi.Hiyo ni fedha ya kujikimu na hutolewa sawa kwa wote. Bodi waseme kiwango cha chini cha Ada walichotoa ni Shiling ngapi? Mwaka huu zaidi ya wanafunzi elfu...
 17. Jamaa Fulani Mjuaji

  Kwanini Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) inaendesha mambo kisiasa?

  Haya ni Maoni Yangu, kwa mtazamo wangu naona Hili swala linaumiza sana watoto wa walala hoi kwanini Bodi ya mikopo Elimu Ya Juu inaendesha mambo yake kwa ahadi za kisiasa sana. Kwenye briefing zao na taarifa ambazo huwa wanazisoma mbele ya media huwa zinajaa mbwembwe sana kuwa tuna hela Tayari...
 18. Benno Bongo

  Ni nini sababu ya kupungua kwa mikopo ya HESLB mwaka 2021?

  Tatizo hasa ni nini kupungua kwa mikopo 2021 na watu wengi hususani wanaotoka kaya maskini kupata chini ya asilimia 50. Karibu tujadiliane
 19. RAISI AJAYE

  Ushauri kwa Serikali: Futeni HESLB na fedha zote zielekezwe kwenye ajira mpya za graduates wa vyuo!

  Maisha yanaendelea! Maelfu ya graduates wasio na ajira yanaongezeka mtaani kila mwaka!na graduates wanashindwa kurejesha mkopo wa masomo waliotumia kusomeshwa. Muda umefika serikali ifanye Re alocation ya bajeti ya mkopo kuwa bajeti ya ajira mpya ili graduates waajiriwe na serikali nchini...
 20. W

  Mwanachuo anayeingia mwaka wa pili akaomba mkopo HESLB kwa mwaka huo, wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch gani?

  Naomba msaada wandugu, Eti kwa mwanachuo anaeingia mwaka wa pili, akaomba mkopo HELSB kwa mwaka huo. Wanapotoa batch yeye ataingizwa kwenye batch Gani, maana batch ya kwanza wamesema ni kwa mwaka wa kwanza na idadi at. Msaada please
Top Bottom