kizimkazi

Kizimkazi - officially Kizimkazi Mkunguni, but also known as Kizimkazi Mtendeni - is a fishing village on the southern coast of Zanzibar, Tanzania, and was once a walled city. It is situated three miles southeast of the Kizimkazi Mosque (which is located in Kizimkazi Dimbani, commonly known just as Dimbani). In recent years, Kizimkazi has become a major tourist attraction, as daily boat tours are organized to bring visitors off shore to watch bottlenose dolphins and swim with them.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchimbi mpaka leo hajaenda kizimkazi kutoa pole

    Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwenda Kizimkazi sasa ni kiki. Wanajali camera sio kumuona Mama

    Kwenda kumuona Mama sasa imekuwa ni kama kiki na sio kwenda kumpa pole. Imekuwa ni kulazimishana lazimishana hivi. Cha ajabu wanajali zaidi waonekane kwenye picha zaidi ya kujali kusalimia. Camera za nini yaani huyo Mama siku nzima ni kukaa kwenye kiti na kupiga picha na watu. Hivi afya yake...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mawaziri SMZ Wafariji Rais Samia Kizimkazi

    Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu, hivi hawa watu wote wanaoenda Kizimkazi wanatoa pesa za rambrambi?

    Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki hitma ya marehemu Hafidh Amir Hassan Kizimkazi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hitma hiyo imefanyika Kizimkazi Mkunguni, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Ndayishimiye amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

    Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia azikwa Kizimkazi, Zanzibar

    Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji wengine, wamejitokeza...
  10. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia kuzikwa leo kizimkazi

    Mwili wa Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, unatarajiwa kuzikwa leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Hafidh Ameir amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar, ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kifo...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kizimkazi lina umuhimu gani kwa Watanganyika?

    Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa. Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini. Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+ Tamasha kama hili...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kizimkazi Festival 2026: Tamasha Linalogeuza Utamaduni Kuwa Nguvu ya Maendeleo

    * Kizimkazi Festival 2026 imeendelea kuthibitisha kwamba tamasha linaweza kuwa zaidi ya burudani. Ni jukwaa la kuunganisha utamaduni, utalii, uwekezaji, biashara na maendeleo ya wananchi. Likibeba kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga!”, tamasha la mwaka huu limekuja katika wakati muhimu wa kuonyesha...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hawa Wazee wa kimila niliowaona leo kizimkazi, watatusaidia vipi kufika Uchumi wa Kati na Kuyafikia mapinduzi ya Kiteknolojia?

    Nimeona leo zanzibar wakihaidi kupeleka nyuki ikulu ya Chamwino ili kumlinda mweshmiwa Rais Hawa wazee wa kimila wanapewa mialiko rasmi ya shughuli kama hizi zinazohusu mkuu wa nchi Wana msaada gani kwenye taifa hili, Kama ni maadili hawana chochote cha kufundisha vijana wanatupotezea mda tu...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kakopa hela aende Kizimkazi asionekane Msaliti. Ujinga

    Wanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA? Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia. Ili kujiipendekeza ni...
  15. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Tukishamfukuzia huyu Kizimkazi; Je, ajaye naye tumfukuzie Ikungi?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kuwa mambo ya kuchochea chuki za ukabila, ama udini, yakianza na tukayapa nafasi, hayana simile. Si hoja yangu leo kumtetea Rais Samia kwa mambo anayolaumiwa, Hoja yangu ni propaganda za ubaguzi wa kidini, kikabila na kikaburu zinazoambatanishwa na ukosowaji...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  17. D

    JamiiForums Tanzania CCM Kizimkazi tayari wanamsagia kunguni Emmanuel Nchimbi

    Kama upo Dodoma wakati huu utayasikia haya; CCM Kizimkazi, CCM Janjaweed tayari wanamsagia kunguni Dr.Nchimbi, kwamba asijikute yeye ni Rais. Hawapendezwi na “tone” ya maridhiano ya Dr.Nchimbi. Wanadai ndiyo kwanza kumekucha “mission unaccomplished”, penda tusipende. Wakati Ukuta, Watanganyika...
  18. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Aliyemwandikia sala Mufti mkuu ndo huyo huyo aliyemwandikia hotuba Mama kizimkazi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Alikuwa ni mtu mmoja SAYUNI BOY
  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

    Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue Atakaa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Kizimkazi kinatoa matibabu na chakula bure

    Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana. Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa...
Back
Top Bottom