Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo...
Ernest Sungura
Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026: Unapataje Taarifa Sahihi katika enzi hizi za Kidijitali?
“Changamoto yetu si uhaba wa taarifa, kwani...
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02.
2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99.
3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji.
4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii.
Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
Kampuni za Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya kutotambulika kwa kiwango kinachostahili katika mazingira ya biashara ya kimataifa. Hali hii inaweza kupunguza fursa za kampuni kupata uwekezaji, kuingia katika ubia wa kimkakati na kushirikiana na kampuni kubwa kutoka nje ya nchi.
Kwa...
Ndugu Zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini.
Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
kibali
kimataifa
maziwa
maziwa makuu
mgeni
mgeni rasmi
mkutano
mungu
mwaka
mwaka huu
nafasi
rais
rais samia
rasmi
samia
ukanda
wabunge
wabunge wanawake
wanawake
Zaidi ya washiriki 3,000 kutoka mataifa mbalimbali wanahudhuria Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Idadi hii kubwa ya wageni ni kielelezo tosha cha jinsi utalii wa mikutano mkoani humo unavyozidi kushika...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi.
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.
Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.
Messi mwenye umri wa miaka 39, ambaye ana mkataba na Inter Miami hadi mwaka 2028, alitangaza Jumatatu kuwa kipindi chake cha mafanikio na timu ya taifa ya Argentina kimefikia mwisho baada ya zaidi ya miaka 20.
Messi amesema alikuwa akitafakari kuhusu mustakabali wake katika soka kufuatia kifo...
Leo, tarehe 30 Agosti, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (International Day of Victims of Enforced Disappearances).
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Umoja wa Mataifa (UN), mwaka huu wa 2026 unatimiza miaka 20 tangu kupitishwa kwa Mkataba wa Kimataifa wa...
Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake.
Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika.
Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost.
https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
Nilimsikia Mh. Lissu kwenye moja ya majibu yake mahakamani akisema na kukubali kuwa yeye ni mtu anaehishimika sana ndani na nje ya nchi kiasi cha jumuiya za kimataifa kumtambua na kumheshimisha kwa kumpatia tuzo.
Kama Lissu mwenyewewe anakili kuwa yeye ni mtu muhimu na anaekubalika nchini na...
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.
Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne...
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Balozi Dkt. Abdallah Possi, amezitaka jumuiya za kimataifa kutumia njia za mashauriano yenye tijabadala ya kutoa hukumu zisizo na uwiano pindi wanapotathmini hali ya kisiasa na kiuchumi nchini.
Akihojiwa Agosti 19, 2026...
Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya.
Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha...
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hadhi ya juu kimataifa.
Watafiti hao wa UDOM ni miongoni mwa washiriki...
Kutoka kwenye uhuru wa kisiasa hadi amani na uwazi wa matumizi ya fedha za umma, ripoti tatu za kimataifa zimeweka Tanzania kwenye mizani isiyopendeza.
Kinachozua maswali si nafasi pekee ambazo nchi imepata, bali mwelekeo unaoonekana katika maeneo yanayogusa moja kwa moja utawala, usalama wa...
Habari wana JF
Kama kichwa kinafyojieleza hapo juu.
Hii mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo serikali husaini kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa na upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa namna mbalimbali ni namna gani huleta faida/msaada endapo serikali itaamua kwa makusudi ya maslai yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.