Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania.
Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa...
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu vinaendeshwa kishenz. Nasema tena Kishenz! Ni aibu kuwa na viongozi wa aina hiyo, halafu ukasema ni chuo...
Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
Dar es Salaam – Katika kumbi za mihadhara za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kote nchini, majina kama Angela Anselim Kiseku na Astrid Mushemba yanang’aa kama alama ya ubora wa elimu ya juu nchini Tanzania. Hawa ni wahitimu waliobeba tuzo za kimataifa katika uhandisi wa mafuta na jiolojia...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira.
Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) – CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
YAH: MALALAMIKO KUHUSU NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA...
Anonymous
Thread
barua ya wazi
elimu
malalamiko
nyongeza
sayansi na teknolojia
vyuovikuu
waziri wa elimu
Tunaomba Serikali kuwalipa hela za matumizi na ada wafadhiliwa wa kada za ubingwa na ubobezi katika sekta ya afya wanaosomeshwa katika Vyuo Vikuu nje ya nchi.
Mwaka umepita tangu tumepatiwa hela za kujikimu. Tunaishi maisha magumu nje ya nchi kwa kucheleweshewa hela za matumizi.
Tunaomba...
Nimeamua kuja na wazo biashara kwa wale walimu wote wanaojituma kwenye kuandika makala mbali mbali hasa za kitaaluma.
Fursa ipo kwenye kuandika na kutafuta walaji wa kile unacho kiandika.
Equation x ameamua kuwa kati ya anayeandika (mwandishi) na mlaji, ili mwisho wa siku uweze kuona matunda...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 22 Januari 2026 imesaini Hati za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) na taasisi tano za elimu ya juu kwa lengo la kukuza matumizi ya akili unde (AI), kuimarisha ubunifu katika matumizi ya data, na utafiti katika kuongeza tija kwenye uundaji wa sera na...
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili- Alikuwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Chuo Kikuu Huria- Mizengo Pinda
MUST- Abeid Amani Karume
Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine.
Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma.
Kuweka campus kubwa kuna saidia...
Wakuu,
Rais wa TAHLISO Bw Godfrey Kiliba amesema jumuiya hiyo haitashiriki wala kuunga mkono maandamano yasiyo na ukomo yaliyopangwa kuanza Desemba 9, 2025, akitoa msimamo huo leo Desemba 7 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Hawa watu wamechanganyikiwa, vyuoni Kuna upungufu mkubwa wa wanafunzi, kuna wanafunzi wengi hawajaripoti vyuoni, mpaka vyuo vimeanza kuwapigia simu kuulizia kama ni wazima.
Vyuoni now kila siku semina ,kuwashawishi vijana wasiandamane, Sasa wamepanga tarehe 8/12 wataweka curfew vyuoni na D9...
Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !!
Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne.
Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
Wakuu
Hatimaye Wizara ya Elimu imetoa tamko rasmi kwa vijana wa vyuo kurudi masomoni
Taarifa hiyo iliyotolewa Novemba 8, 2025 kupitia mitandao ya kijamii ya wizara ya elimu Tanzania inaeleza kuwa;
===
Wizara ya Elimu, sayansi na Teknolojia inapenda kuutarifu umma kuwa, kwa mujiu wa kalenda ya...
Wanachama wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) wameanza mgomo wao licha ya Hazina ya Taifa kutoa KSh. 2.5 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa awamu ya pili ya mkataba wa pamoja wa 2021–2025. Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) na Chuo Kikuu cha Maseno waligoma Septemba 17, 2025...
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Taifa, Ndg. Geofrey Kiliba ameendelea na ziara yake mkoani Singida ambapo alikutana na vijana maafisa usafirishaji katika wilaya ya Manyoni.
Soma pia: Kampeni ya mama asemewe kuandaa kongamano kubwa la wanavyuo Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.