sheria

  1. Wakusoma 12

    Sheria ya mafao kwa wastafu: Nchimbi naye anaingia kwenye Orodha ya Wanufaika wa maisha wa Kodi za watanzania masikini.

    Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
  2. M

    Ni haki DCC kukamata toyo za kuchaji, kuzipiga faini na kulipisha Tsh 50,000 ya maegesho kila mwezi?

    Niaje niaje, lengo la uzi wangu sio kubishana na mamlaka za serikali bali naomba kupata ufafanuzi. Nimelileta hapa jukwaani suala la DCC kukamata vile vitoyo vya kuchaji na kuvipiga faini kwa kupaki mjini na kuvilipisha parking ya tsh 50,000 kwa kila mwezi. Je, ni sawa kulipisha hiyo pesa? Ipo...
  3. mirindimo

    DOKEZO DAR: Wachina wanakiuka Sheria ya Matangazo ya Biashara (Mass and Mid Media Banners) na hakuna anayewachukulia hatua?

    Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.
  4. chizcom

    Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  5. Trubarg

    Je, hakuna Sheria inayoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi?

    Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness...
  6. 1

    Majaji na Mahakimu nyie hamuwezi kujitetea mahali popote dhidi ya mashambulizi ya Mawakili, tafadhali tumieni rungu lenu kwenye Sheria ya Mawakili

    Majaji wa Mahakama Kuu ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya Wakili, Jaji anaweza kumchukulia hatua za kinidhamu Wakili kwa kukiuka sheria ya uwakili The Advocates Act, siku hizi Mawakili wakishindwa hoja mahakamani wanatoka nje na kulaumu mahakama kuwa imekosea ili wananchi tuamini kuwa mahakamani...
  7. OC-CID

    Kwanini magari ya jeshi huwa hayafati sheria barabarani?

    Naombeni mnijuze, kwanini magari ya jeshi mara nyingi huwa hayafati sheria za barabarani na hawashugulikiwi?
  8. Isaack Newton

    Watu wa sheria mtusaidie hapa

    Habari.! Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria. Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa kiume mmoja ambae ni mimi na wa kike wawili. Kwa bahati mbaya katika watoto wa kike, mmoja...
  9. S

    Ni Tanzania pekee Polisi wanakukamata halafu ndio wanaanza kutafuta wakufikishe mahakamani kwa kutumia sheria gani!

    Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria? Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...
  10. Papaa Mobimba

    Uchaguzi 2025 Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya

    Saa chache baada ya kutolewa taarifa ya kukamatwa kwa mwanasiasa mkongwe, Dk Willibrod Slaa, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia kwa mahojiano. Taarifa ya kukamatwa kwa Dk Slaa imesambaa kupitia mitandao ya kijamii, ikisikika sauti ya mwanasiasa huyo...
  11. A

    KERO Malori yanayochukua vifusi Mbutu- Kigamboni hayafuati sheria za usalama barabarani

    Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali. Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua inayochukuliwa na mamlaka husika. Moja ya madhara ambayo yamekuwa yakitokea ni kumwagika kwa vifusi...
  12. Ojuolegbha

    Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria

    Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria. Lengo ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE na...
  13. Hammer11

    Kwa wajuzi wa sheria tafadhali msaada

    Ni hivi mimi ni mtanzania kabisa sasa niko kenya huku na nimebahatika kupata pikipiki sasa nautaji kuja nayoo home Tanzania 🇹🇿 Je utaratibu ukoje au niuze nije na pesa tuu heri ya mwaka mpya 2025 members wote
  14. kiss daniel

    Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

    Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela Lakini pia ni marufuku...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo ambayo ukifanya watu hawatasita kukuua. Bila kujali Sheria zipo au hazipo, Mungu yupo au hayupo

    NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije...
  16. rubii

    WAJUZI WA SHERIA NAHITAJI MSAADA.

    Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike. Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu. Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
  17. Mkalukungone mwamba

    Dkt. Damas Ndumbaro amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza Maalum la Mawaziri wa Sheria la Umoja wa Afrika

    Wakuu! Ndiyo tuseme jamaa nyota yake inangara au kazi yake ni bora sana? Maana hata miezi ajamaliza tangu ameteuliwa tena kwenye nafasi ya kuwa waziri wa Katiba na Sheria au rekodi zake za nyuma ndizo zimempa nafasi hii? ================== Waziri wa Katiba na Sheria Nchini Tanzania Mhe. Dkt...
  18. Genius Man

    Serikali inapaswa kuona umuhimu wa kuweka sheria na utaratibu mzuri kwaajili ya watanzania wote wanaofanya kazi viwandani ili kuwalinda na ukatili

    Watanzania maskini wengi wao wamekuwa wakipitia wakati mgumu na manyanyaso wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto wanaofanya kazi viwandani hali hii haikubaliki na inaminya haki za msingi za binadamu. kuna ushahidi mkubwa kuwa kuna watanzania wengi wananyanyasika viwandani na kufanyishwa kazi...
  19. Ricky Blair

    Sheria kumi za maisha

    Mwongozo wa Wanaoanza Kujichukia; Hapa chini kuna sheria 10 ambazo unaweza kutumia ili kuwa mtaalamu wa kujichukia kwa haraka. Mwongozo huu umeelekezwa kwa wanaoanza na hauhitaji ujuzi au uzoefu wa awali. Tunashauri sana kuepuka vitu vyenye ncha kali na kingo za majengo. Hakuna mtu anayetaka...
Back
Top Bottom