unajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama Kweli Unajua Kiingereza, Tuambie Umepata Alama Ngapi Kwenye Maswali Haya ya Kiingereza. Marks Ulizopata Tuwekee Kwenye Comment.

    Habari za muda huu wana-JF, Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli. Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
  2. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Ukisikia “RRRAAAWWW!” huyo ni Simba! Lakini… je, unajua kweli mngurumo wa simba unamaanisha nini?

    Wengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao. Na jambo la kushangaza zaidi? Mngurumo huu unasafiri umbali mrefu sana👀 Swipe mpaka mwisho ujue zaidi kuhusu sauti ya mfalme wa porini, halafu...
  3. min -me

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unapo piga mamsi wewe ndio unajua wakati wakuachwa

    .
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa. eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye. Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA. Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Je unajua kuhusu METADATA?

    Metadata ni taarifa zinazoelezea taarifa nyingine Hizi taarifa mara nyingi zinakuwa zimehifadhiwa kwenye picha au video metadata itasoma hio picha ilipigwa wapi muda gani camera gani ilitumika au simu gani ilitumika kupiga picha Sasa hii metadata imesababisha watoto wadogo kukamatwa na hii...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Je unajua kitendo hiki kwenye ujasusi??

    **Je unajua kitendo #hiki kwenye ujasusi?? **Kwenye ujasusi unaweza kutambua unafatiliwa au unapelelezwa na watu wenye nia mbaya alafu wewe unatangaza hadharani sehemu ulipo ili kuweza kuwaibaini hao wanaokufatiliwa?? **Kijasusi, kitendo hiki kinaitwa Counter-Surveillance (Ushushushu wa...
  8. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu hawezi kukuokoa mbele ya Mwanamke aliyeamua kukuangamiza. Unajua ni kwa nini?

    MUNGU HAWEZI KUKUOKOA MBELE YA MWANAMKE ALIYEAMUA KUKUANGAMIZA. UNAJUA NI KWA NINI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni siri hutokuja uambiwe popote. Na leo nitakuambia. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya serikali. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya majambazi yenye silaha. Mungu anaweza...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

    Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!! Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini) Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya juma Zima hili. NAJUA HAYANIHUSU LAKINI SHARTI NIWAAMBIE. Umeoa mke wa mtu pengine hata anawatoto...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Unajua nini maana ya Muswada wa Sheria? Hii hapa maana yake

    Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uandishi wa Sheria Bungeni, Ndugu Agnes Ndumbati akielezea mchakato mzima wa Muswada wa Sheria kabla haujawa Sheria kamili.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa unajua VC wa TUMA hajalipa mishara mpk leo wakati yeye akiwa anakula maisha?

    Yule bwana Faustine Mahali siyo mtu, amemtoa mtoto wake sadaka akiwa ana uhusiano na binti moja wa KIBENA ndg wa mke wake anaitwa KISAVYAKE. Mpaka leo hajalipa mishahara akiwa nje ya ofisi anakula maisha. Mwaka jana kuanzia mwezi wa 8 mpk wa 12 hakulipa mishahara. Hv kanisa KKKT ni la...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili...
  14. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu Devowoshipu

  15. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kama ukichukia kuna mistari inapotea ghafla kiganjani kwako?

    HIVI UNAJUA KAMA.UKICHUKIA KUNA MISTARI INAPOTEA GHAFLA KIGANJANI KWAKO? Yes kama ulivyosoma no research no right to speak fanya uchunguzi kesho lete mrejesho
  16. A

    JamiiForums Tanzania EWE MKAZI WA KATORO Je, unajua sasa unaweza kusajili kampuni yako rasmi (BRELA) ndani ya siku 5 tu bila kusafiri Kwenda Dar es Salaam?

    Huhitaji tena: (i). Kupoteza siku nzima foleni (ii). Kutumia gharama za usafiri kwenda Dar es Salaam au Mwanza (iii). Kuchanganyikiwa na taratibu ngumu za makaratasi Sisi tunakusaidia hatua zote, kuanzia jina la kampuni, hati za usajili, TIN, hadi cheti chako rasmi cha BRELA vyote vikifanyika...
  17. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu matibabu ya meno ya utotoni ..!? Ambatana nami uJifunze kitu Leo

    Meno ya utotoni – yana umuhimu mkubwa kuliko unavyofikiri. Wazazi wengi hudhani kuwa meno ya utotoni hayana umuhimu kwa sababu baadaye yatang'oka na kuota meno ya ukubwani. Kutokana na imani hiyo, wengine husubiri meno yakioza kabisa ndipo wampeleke mtoto kwa daktari wa kinywa na meno ili...
  18. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Unajua kutofautisha kati ya neno furaha, neno utamu, na neno raha?

    Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu? Au ukasikia utamu lakini huna furaha? For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo Exp...
  19. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ni washamba unajua kwanini hii ni maajabu, demu akiwa Instagram haliwi? Plus big size model wanauza hamjui

    Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
  20. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni maneno gani ukikuta mtu kakomenti humu jukwaani unajua kabisa huyu kavurugwa na maisha?

    Ciao, Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili. Utawajua kwa hizi komenti 👇 "Jiandae urudi shule" "Kwan shule zimefungwa?" "Hama apo kwa shemeji yako 😁" "Unahitaji kumeza dawa zako" "Tafuta hela" "Njoo pm" "Mwanaume mzima unawaza mapenzi?"...
Back
Top Bottom