raisi

 1. S

  Rais wa Tanzania akitokea Zanzibar nchi inabarikiwa sana

  Tukubali na dalili tumeziona ingawa ndio kwanza, nchi inafunguka kila pembe, hela zimeanza kuzagaa, watu wamejawa na furaha na tabasamu si la kawaida - Hongera Rais Samia Hasan Al Zinjibar, nuru imezagaa kila kona ya Tanzania kama ni Mwenge basi wewe ndie Mwenge wenyewe, endelea kumulika...
 2. Richard

  Serikali ya Rais Samia isijisumbue Hayati Magufuli alieleza kila kitu na aliweka wazi matatizo ya nchi hii

  Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli. Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli. Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa...
 3. Frumence M Kyauke

  Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais atoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

  Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
 4. S

  Tatizo la umeme: Rais, Waziri Mkuu na Waziri husika, wote wanapaswa kujiuzulu kabla hawajamuwajibisha yeyote yule

  Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo. Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
 5. DustBin

  UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

  Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi. Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais. Ni wazi...
 6. bahati93

  Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini

  Habari za jioni Wanajamii, Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini. Nilikuwa nimetoka zangu offisin maeneo ya Gerezani Kkoo nikashangaa kuona Trafiki wakiwa bize kusafisha na kutawanya wote watumiao barabara ili Apite. Mimi na Raia wengine tukawa tumekaa pembeni...
 7. H

  Hayati Dkt. Magufuli ndiye Rais aliyefaa kuiongoza Tanzania

  Habari wanaJamiiForums Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti...
 8. D

  Rais Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady)

  Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron. Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953. Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani kwake, kwani hata watoto aliozaa huyu Mama wanazidi umri.
 9. M

  Kwenye suala la Wamachinga, Rais Samia umevunja ahadi na umewasaliti Wamachinga

  Mheshimiwa rais, Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza. 1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa...
 10. MALCOM LUMUMBA

  Dada wa Kikenya kampa Rais wa Ufaransa vidonge vyake bila kumung'unya maneno

  Kwanza naomba niseme wazi kabisa Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko wengine (Grandiosity and Megalomania) huwa inanifanya nichafukwe na nyongo sana. Mambo maovu kama ukoloni...
 11. William Mshumbusi

  Ziara ya Rais Samia nchini Marekani, wapinzani wakichezesha vizuri karata zao za diplomasia itasaidia sana kurejesha Demokrasia

  Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili. Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na kushindana. Raisi anaenda Marekani kwenye mkutano. Na Kama mjuavyo washauri wake ambao naamini NI wacomunisti...
 12. Francis fares Maro

  Hongera Rais Samia Suluhu. Shughulikia changamoto hizi pia

  Kwanza nipende kukuombe Kwa Mwenyezi Mungu akupatie Umri mrefu wenye mafanikio na hitaji la Moyo wako. Hakika Wanawake ni Nguzo kuu kwenye kila Hatua kwenye Dunia hii!!. Mama Samia napenda kukupongeza Kwa hatua kadhaa na jinsi unavyofanya nchi yetu inaenda Kwa kasi sasa. Mama Samia...
 13. K

  Philip Isdor Mpango: Tunaomba umsaidie Raisi kwenye matumizi ya pesa

  Tusimlaumu Raisi kwenye kila kitu. Hakuna mtu nambaye anajua mambo ya pesa, miradi na jinsi ya kuendesha serikali na gharama zake kuliko Makamu wa Raisi Philip Isdor Mpango. Lakini pamoja na ahadi zake za kupambana na ufisadi hajafanya kazi nzuri kupambana na matumizi mabaya ya serikali...
 14. SYLLOGIST!

  Rais Filipe Nyusi Atangaza ushindi Msumbiji Cabo Delgado. Raia watanzania walihusika?

  Mozambique President Filipe Nyusi on Tuesday announced that the country's armed forces, with the help of Rwanda and the Southern African Development Community (SADC) forces, have reclaimed nearly all areas that were seized by militants in Cabo Delgado province. President Nyusi said some locals...
 15. S

  Royal Tour inaweza kugeuka kashifa kwa Rais Samia itayotumiwa na wapinzani kwenye kampeni za 2025 panapo Tume Huru ya Uchunguzi

  Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri. Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
 16. E

  IET na ERB zinatuangusha wahandisi

  Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa. Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi. Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu Mimi nilitegemea kusikia labda...
 17. YEHODAYA

  Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

  Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao. Mimi bado namtambua Rais Conde...
 18. mugah di matheo

  Upi ukomo wa ubunge wa kuteuliwa na raisi?

  Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika katiba. Je inakuwaje kwa akina Bashiru na Polepole? Nani Mwenye mamlaka ya kuwafuta ubunge kabla bunge...
 19. mshale21

  Rais kurekodi kipindi ili kutangaza utalii, je, waziri wa utalii anafanya nini?

  Wakuu, natumai hamjambo! Jana iliripotiwa kuwa Rais Samia ameanza rasmi kurekodi kipindi kinacholenga kutangaza utalii, waziri wa utalii anafanya kazi gani? Hana ubunifu mpaka mwajiri wake anaamua kubuni njia ya kuitangaza Tanzania kiutalii?
 20. K

  Rais Samia anafanya kosa kubwa kama Hayati Magufuli kuhusu upinzani

  Ni miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani. Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na...
Top Bottom