Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua .
Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana
Thanks
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa na ushindani sana mgombea wa CCM alipata kura milioni 6.8 na ule wa ukawa alipata milioni 6.
Hivi vipi kama kwenye ule uchaguzi UKAWA wangeshinda urais na kupata majimbo mengi zaidi leo Tanzania ingekuwaje
Kwenye nyanja za
1. Miundombinu
2. Demokrasia
3...
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Winnie Odinga, ametangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti cha Useneta wa Nairobi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, hatua inayomuingiza moja kwa moja katika kinyang'anyiro cha uongozi wa kisiasa jijini humo.
Akizungumza Alhamisi, Oktoba 15, 2026...
Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu.
Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
Mbunge wa Nyando, Jared Okello, ametaka uchunguzi ufanywe kuhusu uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kununua vifaa vipya vya uchaguzi kila baada ya miaka mitano badala ya kukarabati au kuboresha vilivyotumika awali.
Akizungumza na kituo cha runinga Jumanne, Oktoba 13, 2026, Okello...
Maana sote ni mashahidi wa namna viongozi wa serikali sikivu ya CCM wanavyochapa kazi kwa weledi na bidii usiku na mchana, ili hatimae wananchi na waTanzania wote wanufaike kijamii, kisiasa na kiuchumi.
Hata hivyo,
licha ya kazi hizo kubwa na nzuri sana zinazofanywa na viongozi katika ngazi...
Nimeona ni vizuri sana kwa wadau wa Jf, na wananchi wote kwa ujumla, walau kufahamu jambo hili vizuri na kwa uchache, ili hatimae kau na uelewa wa pamoja kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwa maslahi mapana ya taifa letu.
CCM ndio iliyopewa dhamana ya na umma kuongoza nchi hii, na kupitia...
Kwasababu,
idadi ya ambao hawatasusa inatosha kabisa taifa kumove on bila ya changamoto yoyote kama ilivyo sasa.
In fact,
Idadi hiyo ya waTanzania, inafanya taifa kufocus zaidi na mambo yajayo kuliko kubabaika na porojo au misimamo isiyo na tija ya ving'ang'anizi ambao wanajipa umuhimu na...
Kwa kurelax,
elezea hasara na athari hizo za kisiasa, kijamii na kiuchumi wanazopitia wasusia uchaguzi na vyama vyao vya siasa, kwa kurejea hasara na athari za wasusia uchaguzi wa Kenya, Zanzibar na Tanzania na itapendeza zaidi, kwasababu sote ni mashahidi, hakuna faida hata moja waliopata...
Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa.
Miongoni mwao ni Twaha Mwaipaya, aliyewahi kuwa kiongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA)...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII
YAH: MALALAMIKO KUHUSU UENDESHAJI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA NALIKA NA KUSHINDWA KWA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU KUSIMAMIA MCHAKATO KWA UWAZI NA KUZINGATIA KATIBA YA JUMUIYA
Mheshimiwa Waziri,
Kwa heshima...
Anonymous
Thread
hujuma
hujuma za uchaguzi
tunduru
uchaguzi
wajumbe
wanyama
Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36.
Uchaguzi huo...
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania.
Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
https://www.facebook.com/share/v/1B2qhgYhck/?mibextid=wwXIfr
Historia hii ya Mkapa kuchaguliwa kuwa mgombea ili ikae vizuri inahitaji utafiti kujua wagombea wengine mfano wa Kikwete wanasema nini kuhusu mchango wa Mwalimu katika ugombea wao wa kutaka kupendekezwa kupeperusha bendera ya CCM...
Ndugu wadau, habari zenu.
Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi.
Matokeo yake Sasa, yaliyotokea siku ya uchaguzi yanaipa nguvu serikali kusema yalichochewa na kauli za lisu. Mfano ukisema...
Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania.
Kuna hali inayodaiwa kuwepo katika baadhi ya vyuo nchini ambapo mwanafunzi anapotaka kugombea nafasi za juu katika...
Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu.
Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli.
KABLA YA KUPIGA KURA
Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii.
Wakati wa kampeni hao...
Uchaguzi ndani ya chama ni kazi ngumu sana na inayohusisha kutofautiana na hata kuumizana wakati mwingine bila kukusudia
Ninadhani ni busara chama kitafute mwaka usiokuwa karibu na uchaguzi mkuu wa nchi
Makamu wa Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ametoa hakikisho kwa washirika wa maendeleo wa kimataifa na jumuiya ya kimataifa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 utakuwa wa haki, huru, na wa wazi bila ukiukaji wowote wa sheria.
Akizungumza katika mkutano huo, Kindiki alisisitiza kuwa serikali iliyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.