kiboko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Kiboko ya wachawi alikuwa anaingiza hizi pesa kwa siku.

    Ndugu zangu pesa hazitafutwi, pesa inawekewa mitego ili ije yenyewe. Watu wameuza viwanja majumba kumpelekea pesa yule jamaa, ni huzuni pokeni.
  2. Nehemia Kilave

    Live:Ibada ya mpenyo wa kifedha na nabii kiboko ya wachawi

    https://www.youtube.com/live/YnZrlTCDEQc?si=K0IFuAjemyfD9BKZ Karibuni
  3. Asernal stockpile

    Dawa kiboko ya panya ni ipi? mbona nimemaliza dawa na tatizo haliishi

    Wakuu msaada nimemaliza dawa ila panya hawapungui Kuna kiboko nyingine
  4. Pdidy

    KWA KIBOKO WA WACHAWI PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA .ASKOFU EDWARD AMEPANUNUA

    PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂 ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇 "TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
  5. Nehemia Kilave

    Kiboko ya Wachawi: Kanisa ni katoliki mengine ni vibanda tu

    Habari JF, Hapa pastor Dominic -kiboko ya wachawi alikuwa na maana gani? Je, na yeye alikuwa ana miliki kibanda? Je, hii kauli ina ukweli kiasi gani?
  6. Gemini AI

    'Afande' Fatma Kigondo anayedaiwa kusaidia Binti wa Yombo afanyiwe Ukatili wa Kingono afunguliwa Kesi ya Jinai

    DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi. Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
  7. GENTAMYCINE

    Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

    Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo. Soma pia: Kufungiwa kwa...
  8. Yesu Anakuja

    Haiwezekani kumrudisha Kiboko ya Wachawi nchini Tanzania na kumfungulia mashitaka?

    Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition Congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa...
  9. S

    Samico nimerejea mjini, nimekuta mabadiliko; Aliyekuwa kiboko ya wachawi naye karogwa na wachawi

    Baada ya kukaa saiti miezi mitatu huko polini kondoa pasipo kuingia internet, Hatimaye leo tumerejea Dar es salaam! Tuko huru kama kuna kazi umeme na ujenzi nipigie 0711756341 Nimerudi mjini Hakika mabadiliko yanaonekana! Mji unakuwa kwa kasi sana! Ukiwa hapahapa mjini kila siku huwezi kugundua...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
  11. LIKUD

    Kiboko ya Wachawi ni aidha amechanganyikiwa au ni kazi ya mizimu na miungu wa watu aliowaumiza

    Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao) Pia inaweza kuwa kazi ya...
  12. USSR

    Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

    Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi . 1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu? 2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu? 3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali isiishie kwa Kiboko ya Wachawi, kuna matapeli wengi sana kwenye uwanja wa dini Tanzania

    Zipo ishara nyingi za kumjua mtumishi tapeli. Leo nitaitoa ishara moja tu. 1.Kupenda pesa kuliko Mungu anayemhubiri. Mtumishi tapeli ni mtu anayepanda sana pesa kuliko kitu chochote. Utajuaje kuwa mtumishi huyu anapenda sana pesa? Jibu: Accounts zote za benki zinasoma jina lake, accounts za...
  14. J

    Mnamkumbuka Ayatollah Khomeini, kiboko ya Shah wa Iran?

    Hiyo hapo video yake mwamba huyo mwana mapinduzi na mwanzilishi wa Iran Theocratic Regime https://youtu.be/60MC3bVFG6s?si=TZSCPGdLL__fbT5t
  15. M

    Hamas ni kiboko sana. Hii ingalitokea Vatican ingalikuwaje?

    Mwaka sasa tangu vita vya gaza vianze, Marekani halali anatka vita visimamishwe. licha ya kupelea jeshi na silaha kwa isreal lakini mabo yanazidi kuwa magumu kwao Kama Hamas wanapigwa kama tunavyoaminishwa na Propaganda, Marekani alingalikua anahaha kuomba Hamas wakubali vita viishe? swali vita...
  16. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  17. USSR

    Pastor Amin: Msaidizi wa kiboko wa wachawi anena mazito

    Kwenye maisha usifurahie kila msaada unaopewa na mtu kwa nini kwa sababu hakuna kitu cha bure, kila msaada nyuma yake huwa na kusudi maalumu kwa anaesaidiwa sasa usifurahi kisa umepata kazi, mchumba, Promotion fulani au kitu chochote kwa kupewa na mtu No! Tafuta kujua kwa nini anakusaidia huyo...
  18. mfate42

    KERO Huyu babu wa radio Free Africa ana tofauti gani na kiboko ya wachawi? na je kwanini hafungiwi?

    Habari za muda huu ndugu wana JamiiForums, Naomba kuuliza hivi huyu mzee anaejiita babu, ambae anarusha matangazo yake ya uganga wa kienyeji kupitia kituo Cha Radio Free Africa, Mwanza ana tofauti gani na yule aliyefungiwa kule Buza, anayejiita kiboko ya wachawi. Nimejaribu kusikiliza kwa...
  19. M

    Kiboko ya wachawi aingia mtegoni

    Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye. Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
Back
Top Bottom