Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui.
Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu.
Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...