Amani kwenu wakuu,
Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo.
Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake.
Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
Ndugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi, ukipiga hesabu kwa haraka haraka hadi amalize mkopo atakuwa amelipa zaidi ya milion 54. Je, hii...
Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB,
Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika...
Tunapoona vikundi vya wajasiriamali 33,594 vikifikiwa na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kupitia Serikali tunapaswa kutafakari kwa kina
Je hii si ishara kwamba Serikali inaendelea kufungua milango ya wananchi kushiriki moja kwa moja katika uchumi wa nchi yao?
Pongezi za dhati zimwendee...
Hizi ni pesa nyingi sana. Nyingi mno. US ina watu kama milioni 350 na inadaiwa dola Trilioni 40. Afrika nzima ya watu 1.4 bilioni inadaiwa kama trilioni 1.5 tu. Nchi inaweza kukopa hela zote hizo na isiendelee kweli? Hayo mahela yanajenga vitu vingi mno. Barabara, bandari, hospitali, shule na...
Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi
Ndugu zangu naanza na SISI vijana
Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume
Ulevi- nani kakwambia ulevi unaondoa mawazo ?hyo buku mbili ya dable kiki
2000 mara mwezi ni 60,000...
Mimi ni mmoja wa watumishi chini ya Wizara ya Afya. Niliomba mkopo wa Hazina kupitia portal husika tangu mwaka jana, lakini ombi langu, pamoja na ya watu wengine ninaowafahamu tuliomba pamoja, limekuwa kimya bila kushughulikiwa hadi hivi karibuni.
Sasa tumeanza kupigiwa simu na watu...
Mikopo ya watumishi wa umma kausha damu. Unakopa benki milioni 15, kinachoingia milioni 13 makato, milioni 32 haijalishi utalipa kwa muda gani, lakini hii ni kausha damu.
dewji
foundation
jina
kwa jina
kwa majina
line
majina
makampuni
makampuni ya simu
matangazo
matapeli
mikopo
mo dewji
mo dewji foundation
mo foundation
mtandaoni
simu
wananchi
zao
Kenya imelipa takriban Shilingi bilioni 7.7 kama ada za kujitolea (commitment fees) kwa mikopo ya kigeni ambayo haikutumika kati ya mwaka wa fedha 2020/21 na 2024/25, kulingana na ripoti za Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, na Mdhibiti wa Bajeti, Margaret Nyakang'o. Ada hizo...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini.
Hatua hiyo...
MIMI NITAKUSAIDIA KWENYE MAMBO YAFUATAYO MUDA WOWOTE
MIMI NI MTAALAMU NINA UZOEFU WA MIAKA MINGI NITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO UKIWA POPOTE
🔓 𝙺𝚄𝙵𝚄𝙽𝙶𝚄𝙰 𝙰𝙲𝙲𝙾𝚄𝙽𝚃 𝚈𝙰 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 & 𝚄𝚂𝙷𝙰𝚄𝚁𝙸 𝙺𝚄𝙷𝚄𝚂𝚄 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻
💫Maombi ya Vyuo ( Degree,Diploma & certificate)
💫Kuomba Mkopo wa Elimu ya Juu...
Kama una changamoto ya kuomba vyuo au mkopo tuwasiliane kwa
0623446608
Kumbuka:Si kwaajili ya fedha ni kwaajili ya kukusaidia IKIWA tofauti screen shot mawasiliano yetu na jina langu halisi (tukiwasiliana utalijua) ulete hapa or whatever.Nafanya ivi kwasababu ni changamoto kubwa inayofanya...
Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika.
Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
Najaribu kufikiri Mimi mswahili. Hivi kwa Nini Afrika hutuwezi kutumia akili nyingi kuwawezesha watu wetu.
Ishu ya mikopo hasa kwa watu walio na ajira, nimeona wengi pamoja na kuajiriwa kwao lakini hawawezi kudhaminika kwenye mabenki. Ofisi nyingi zinashindwa kudhamini wafanyakazi wake kupata...
Najaribu kufikiri kama Mswahili. Hivi kwa nini Afrika tushindwe kutumia akili nyingi zaidi kuwawezesha watu wetu kiuchumi?
Kwa mfano, suala la mikopo kwa watu wenye ajira. Nimeona wengi, licha ya kuwa wameajiriwa, bado hawawezi kupata mikopo kwa urahisi kwa sababu hawana dhamana zinazokubalika...
Sisi waombaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana tunakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kupata na kutumia fedha hizo.
Baada ya kupitia ukaguzi wa kamati tatu (kamati ya kata, kamati ya halmashauri na kamati ya wilaya) na kikundi kupitishwa, husaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.