bodi ya mikopo

  1. Escrowseal1

    Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati. Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
  2. LIKUD

    Hivi "Bush" bado anafanya kazi Bodi ya Mikopo?

    Kuna dogo anazinguliwa kuhusu mkopo nauliza hivi bush bado yupo bodi ya mikopo? Halafu please mnaweza kunikumbusha jina halisi la Bush? Watoto wa udsm 2006- 2010 msaada wenu please.
  3. benzemah

    Bodi ya Mikopo Kuwapa Mikopo Wanafunzi Waliotemwa Samia Scholarship

    Serikali imewahakikishia kupata mikopo wanafunzi 226 ambao wametemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship,’ baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo. Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
  4. JanguKamaJangu

    Gazeti la Nipashe limeripoti kilio kuhusu mikopo ya Elimu ya Juu kutoka Bodi ya Mikopo

    UFAFANUZI WA BODI YA MIKOPO: MKOPO UNATEGEMEA NA UHITAJI WA MUOMBAJI KWA ALIVYOOMBA Mkuu wa Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), Omega Ngole anafafanua: “Upangaji wa viwango vya mikopo kwa Wanafunzi wanufaika unatokana na uhitaji wa muombaji kulingana na nyaraka...
  5. Objective football

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada. Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa kutokana na sababu zifuatazo 1.Account za waliokosa hazina notifications zozote kuwa kakosa...
  6. NGOSWE2

    Utaratibu wa Bodi ya Mikopo (HESLB) unatia shaka

    Utaratibu wanaotumia bodi ya mikopo ya wanafunzi HESLB inaleta maswali mengi sana katika jamii. Utaratibu wa kusema kila mwanafunzi aangalie kwenye akaunti yake inaleta kigugumizi kidogo. Kwa nini wasitumie utaratibu kama vifanyavyo Vyuo wa kutoa orodha ya majina yote ya waliofanikiwa kupata...
  7. JMWAKA

    Tetesi: Bodi ya mikopo (HESLB) kuingia mtaani kusaka wanufaika wasiolipa deni lao

    Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani. Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao. Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa...
  8. H

    Bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa level ya diploma ina maana wako 'Satisfactory' kwa level ya degree

    Salaam leo jumapili siku ya Bwana. Kwenye mada. Kwa hali hiyo sitegemei kusikia wanafunzi wa degree wamekosa ufadhili huu muhimu wa mkopo wa elimu ya juu. Kwa sababu kama sikosei hili ndio lengo kuu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu.Kuanzia degree kwenda juu.Kama ipo ya ziada basi sawa na...
  9. A

    TAHLISO wanapaswa kusimama na kupigania haki za Wanafunzi kuhusu Mikopo

    Naitwa Abdul-Aziz Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM): Octoba 20,2023 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya mikopo (HESLB) Abdul-Razaq Badru aliishukuru serikali kwa kutenga Bilioni 731 kwa ajili mikopo ya wanafunzi 220,376 wa Elimu ya juu, lakini pia alitangaza awamu ya kwanza ya...
  10. hermanthegreat

    Bodi ya mikopo kama hamkuwa na budget ya kutosha bora msingeongeza bumu au kuwapa mikopo diploma

    Ni vilio tu huku, yaani waliopata angalau asimilia 2% ya Ada yao ni wale yatima au walemavu, ila wengine ni bumu tu. Hii imekatisha sana tamaa ya wanafunzi kuendelea na elimu ya juu kwani wengi wanaopitia advance wanakuwa na hali ngumu za kimaisha. Sifa tu kwamba wamewapa mkopo diploma afu...
  11. Rasasem

    Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

    Salaam waungwana, poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali mliyonayo wakuu, niende moja Kwa moja kwenye mada. Je, Kuna mtu mwenye update yoyote kwa waliomba Mikopo ya elimu ya juu majibu yanategemewa kutoka lini? Nikiangalia ratiba ya vyuo mbalimbali vingine vinafungua tar 21 Ocktoba na...
  12. S

    Ingekuwa ni jambo la kimataifa, serikali ingeshindwa mahakamani na pengine kutakiwa kuwalipa fidia Wanufaika wa Bodi ya Mikopo

    Awamu ya tano chini ya Rais wa wakati huo, Marehemu Magufulli, ilikuwa kinara wa kukiuka sheria na kuvunja mikataba na matokeo yake leo hii serikali inashitakiwa huko katika mahakama za kimataifa na nchi kushindwa kesi na kulazimika kulipa mabilioni ya shilingi kama fidia. Walichokifanya katika...
  13. G

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Habari, Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini? Maana naona watu wanaendelea kuomba mkopo tu.
  14. Kayombo Tips

    Bodi ya Mikopo mna shida gani maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao?

    Ni zaidi ya wiki tatu sasa natuma maombi ya mikopo kwenye bodi ya mikopo kwa njia ya mtandao. Lakini muda wote ninaotuma maombi hayo matatizo mawili yanajitokeza. Tatizo la kwanza napata ujumbe huu "A User With Tha UserName Already Exists". Napata ujumbe huu baada ya kulipia gharama za maombi...
  15. Roving Journalist

    Bodi ya Mikopo: Tunafuatilia Madai ya matokeo ya Wanafunzi wa UDOM kuzuiwa kisa kuchelewa kwa malipo ya ada

    Ufafanuzi wa Awali: Malipo ya Ada ya Mafunzo (Tuition Fee) ya mwanafunzi-mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu unaotolewa na serikali hulipwa kwa baada ya masuala yafuatayo kukamilika: Chuo kuwasilisha HESLB madai (invoice) sahihi na kwa wakati; 'Invoice' sahihi ni ile yenye kiwango (amount)...
  16. BigTall

    DOKEZO Uongozi wa UDOM unazuia matokeo ya mitihani kwa Wanafunzi ambao tumecheleweshewa malipo ya ada kutoka Bodi ya Mikopo

    Kuna kitu kinaendelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baadhi ya Wanafunzi wanaolipiwa hela na mkopo na Bodi ya Mikopo (HESLB) wamefungiwa matokeo yao na chuo kwa madai Bodi haijaingiza pesa za ada chuoni. Hivyo, uongozi wa UDOM umewataarifu Wanafunzi kuwa walipie wenyewe ada direct na kama bodi...
  17. A

    DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
  18. Roving Journalist

    Mhitimu wa UDOM adai Bodi ya Mikopo inamlipisha deni la chuo ambacho hajawahi kusoma

    Naitwa Richard M. Philemon, Mwaka 2008 baada ya kuhitimu form six, niliomba vyuo mbalimbali kikiwemo UDSM, lakini wakanipanga Mkwawa University College of Education (MUCE Iringa), sikwenda katika chuo hicho kutokana na sababu kadhaa za kifamilia na nilitoa taarifa. Mwaka mmoja baadaye nikaomba...
  19. K

    Msaada: Bodi ya mikopo natokaje hapa kwenye demographic info?

    Naomba msaada wiki nzima sasa nimekwama kwenye demographic infro mtandao kila niki submit nashindwa kwenda mbele mfumo upo slow unashindwa kupokea data. Je, nifanyaje?
  20. G

    Tetesi: Muungano: Manufaa zaidi kwa Wazanzibar - Bodi ya mikopo kwa wazanzibar (ZHELB), Pia ZANAJIRA(Ajira portal kwa raia wa zanzibar)

    "Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
Back
Top Bottom