Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia.
Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...