Naishi Mbagala, na nina dukuduku pamoja na maoni binafsi ambayo ningependa yawafikie wananchi wenzangu na mamlaka husika, ili ikiwezekana hatua zichukuliwe na marekebisho yafanyike.
Kumekuwa na tabia ya wafanyabiashara, hasa wale walio pembezoni mwa barabara, kutumia redio zenye matangazo ya...
Anonymous
Thread
barabarani
bila
hawawezi
kuuza
sauti
spika
wafanyabiashara
Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
Anonymous
Thread
biashara
biashara ya saluni
elimu
hatuna
kuhusu
malipo
service
service levy
wadogo
wafanyabiasharawafanyabiashara wadogo
Bi. EVA MBIRU mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameishukuru Serikali ya Tanzania kutoa nafasi kwa wakazi wa Rukwa kuidhimisha kilele cha mwenge wa uhuru maana imewapa fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ujio wa wageni wanaotoka maeneo tofauti ndani ya Tanzania
Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao.
Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
alama
baraka
faraja
maendeleo
maendeleo ya tanzania
mkoani
mwenge
mwenge wa uhuru
rukwa
sumbawanga
tanzania
tuendelee
uhuru
umoja
vijana
wafanyabiashara
Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light.
Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
Habari za wakati huu, wana JamiiForums.
Ningependa kupata maoni ya wamiliki wa biashara, hasa wanaofanya biashara ya magari, vifaa vya ujenzi, na biashara nyingine kuhusu matumizi ya websites katika kukuza biashara zao.
Katika biashara ya sasa, wateja wengi hutafuta bidhaa kupitia Instagram...
Imekuwa kawaida sana kwa wafanyabiashara kukwepa kulipa kodi ya serikali inayokatwa kupitia VAT ambayo ili iende serikalini inabidi wahusika watoe risiti kwa wanunuzi
Maduka mengi hasa ya vifaa vya ujenzi ukienda kununua bidhaa wanakuonyesha bei mbili uchague unayotaka. Wanakwambia bei hii ni...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi.
Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/
Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na...
KUONESHA VYETI VYA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYABIASHARA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
Dar es Salaam 01 Oktoba, 2026
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawafahamisha wafanyabiashara na umma kwa ujumla kuwa mtu anayejihusisha na shughuli za kiuchumi zinazompatia kipato, ikiwemo biashara...
Mmoja anakwenda pale kukagua shughuli za usafirishaji wa abiria na mwingine anakwenda kufuatilia mgomo wa madereva. Je, wananchi na wafanyabiashara washike lipi?
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amewataka wafanyabiashara na wawekezaji kuacha kusubiri Serikali itangaze miradi ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP), badala yake waibue fursa na kuwasilisha mapendekezo yao kwa Serikali...
Wana-JamiiForums,
Leo nimeona niguse mabadiliko makubwa yanayoendelea katikati ya jiji la Dar es Salaam (CBD), hususan katika eneo maarufu la Posta linalojumuisha Kata za Kivukoni (Posta ya Zamani) na Kisutu (Posta Mpya). Hili ni jambo linaloonekana wazi kwa mtu yeyote anayepita au kufanya kazi...
Wafanyabiashara katika Soko la Tandika wameandamana wakilalamikia kuondolewa katika maeneo yao ya biashara, wakieleza kuwa hatua hiyo imekuwa ikiwapa changamoto na kuathiri shughuli zao za kiuchumi.
Wafanyabiashara hao wamesema wananchi wamechoka na manyanyaso wanayodai kukutana nayo, huku...
Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo James, inachukua nafasi hii kuipongeza Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), chini ya uongozi wa Mkurugenzi wake, Dkt. Adam Mitangu Fimbo, kwa kazi nzuri inayoendelea kufanywa katika kudhibiti uingizaji wa dawa bandia nchini.
Dawa bandia...
Mhubiri Dishon Mirugi amejikuta tena katikati ya mjadala mtandaoni baada ya mfanyabiashara Idah Arunga kuchapisha ujumbe anaodai unaonyesha pastor huyo akijaribu kuanzisha uhusiano wa kimapenzi naye.
Arunga, ambaye anafanya biashara ya jumla ya mitumba, anadai alilengwa kutokana na mafanikio...
Mvutano umeibuka katika eneo la Eastleigh, Nairobi, kufuatia agizo la Rais William Ruto la kuchukuliwa hatua dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo nchini.
Rais Ruto alisema Septemba 2 kuwa biashara ndogo kama uchuuzi na maduka madogo zinapaswa kuhifadhiwa kwa Wakenya, akieleza...
Mamia ya raia wa Burundi wanaoishi Kenya wamejitokeza katika jijini Nairobi, wakitafuta pasipoti, hati za kusafiria na nyaraka nyingine, wakati serikali ya Kenya inaanza utekelezaji wa agizo la kukagua biashara zinazoendeshwa na raia wa kigeni.
Foleni kubwa ilishuhudiwa Jumatatu, Septemba 7...
Ama kweli tunatofautiana. 😂
Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa.
Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
Ijumaa, Agosti 28, shughuli za biashara katika sehemu za Nairobi CBD, Kamukunji, Gikomba na Nyamakima ziliathirika baada ya wafanyabiashara kufunga maduka yao na kuandamana kupinga kiwango kipya cha tathmini ya forodha kilichowekwa na Kenya Revenue Authority (KRA).
Kiini cha maandamano hayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.