Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
Nimesafiri na vyombo vya usafiri wa umma,kwenda mikoa Mbalimbali,kunq sheria zinapitishwa na Mawakala wa Shetani kwa kudai Serikali haina Dini,Mahubiri,nyimbo za Dini ziondolewe kwenye Mabasi!
Nani alipata hasara kwa Mahubiri na nyimbo za watu wa Dini? Mbona Serikali inapokuwa na Shughuli...
Huu muziki wa Mbosso sijawahi kuuelewa, ni taarabu, tena nyingine unakuta Zina matusi ya wazi wazi kabisa
Ila unakuta dume zima linaimba au kufuatisha, halafu linaponda taarabu.
Miaka 30 ya Bongo, Lengo lake ni kuhalalisha maisha yaendelee tuu, kwamba Yale Mauaji ya Oktoba 29 ni Mauaji tu ya kawaida !!.
Mitanganyika mijinga mijinga, inauñganishwa na Starehe, matokeo yake inawasahau ndugu zao waliuliwa Oktoba 29.
Kabla sijaenda moja kwa moja kwenye mada husika, tour zinazofuata naomba mzingatie yafuatayo:
Gangster With Matatizo (GWM) waje waimbe – YAMENIKUTA
Big Dog Pose(BDP) waje waimbe – MA-JOB-LESS
Mwana FA usiache kuimba – Haina Fagio
Fid Q usiache imba – Sihitaji Marafiki
GK usiache imba – Tuko...
Hii inaonesha ni kwa namna gani binadamu ni wabinafsi na wanapenda kuishi fake life.
Unaanza vipi kumpaisha Mr Ebbo na kuwaacha malegend wa masai hip hop walioipeleka bongo fleva ughaibuni??
Ndio maana Mambaz 24 aliamua kuitupa Mike kwenye stage.
"NINI DHAMBI KWA MWENYE DHIKI"
"USHANTA"...
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka
Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.
Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza...
Nasema tamasha la maadhimisho ya bongo fleva mika 30 ni zaidi ya fiesta.
wakongwe wamekamata kila kona.
Leo tarehe 19.09. Chuga kitawaka.
TMK halisi tunawataka wapige shoo kwa pamoja kama walivyo kuwa.
“Leo nitaongea kitu ambacho wengi hawakijui maana naona maneno yamekuwa mengi sana, Hivi mnajua niliweka bondi nyumba yangu ili niweze kupata pesa za kuendesha tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva?. Mwanzo nilimtegemea Babu Tale atoe pesa ila alichelewa nikaongea na Fid Q nikaandika barua...
Wasanii ni jeuri na kuna ambao waliapa waziwazi hawawezi kurudi kwa wananchi kuwaomba msamaha kama wananchi wana jeuri basi wasusie kazi zao au show zao .
Wananchi kweli mwanzoni walitikisa kiberiti kwa kuwa unfollow na kutosapoti kazi zao za sanaa zilipokuwa zinatoka pia walisusia shows.
Ila...
Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu.
Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza...
Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi.
Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.
Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad
hi ya wasanii wamejaribu kuleta ladha tofauti na asili yenyewe(bongo fleva) lakini wapo waliosimamia misingi ya...
Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani...
Hawajamleta mkali voice wounder
Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc
Bado nitaendelea kuamini ile...
Hongereni wanasimba kwa pira zuri hakika mmeonesha mwanzo mzurii.
Aisee jana baada ya mechi kuisha nilikaa nisikilizie Usiku wa Bongo fleva. Nikaagiza kinywaji ili nivutie muda. Nikapiga konyagi ya kati na bia 3. Nilipata vaibu kinoma. Pembeni alikuwepo mdada fulani anacheza si nikajichanganya...
MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA
VERSE. 1
Mimi ni dreva/
Na nitabaki hivi forever/
Najua nifanye nini ili nibaki kuwa super/
Nilishasema mimi ni zaidi ya rapa/
Na watu ndio wanataka nizidi kubaki hapa/
Nataka number one DJ, muweke number one/
Mi kwanza nataka mshiko ndipo niwe number one/
Dani...
HAPO ZAMANI
_______________
Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob). Wakali hawa walikuwa Marapa wa kundi la Kwanza Unit, na wawili wote kwa sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.