Kimya Dawson (born November 17, 1972) is an American folk singer-songwriter, best known as one half of the anti-folk duo The Moldy Peaches. Dawson's work with The Moldy Peaches earned her a cult following and critical acclaim, with their 2001 song "Anyone Else But You" landing a spot in multiple acclaimed indie film soundtracks. "Anyone Else But You" as performed by Michael Cera and Elliot Page charted on the Billboard Hot 100 after its prominent inclusion in the 2007 film Juno, the soundtrack of which includes several songs by Dawson and her associated musical acts. The song remains Dawson's highest charting single to date. In addition to her work with The Moldy Peaches, Dawson has released seven solo studio albums and collaborated with various other artists from a diverse range of genres, including Aesop Rock, They Might Be Giants, The Mountain Goats, and Third Eye Blind.
CHADEMA imeendelea kutoa matamko kwenye mikutano kuwa mmeuza sehemu za nchi na kuwapa Waarabu . Je, ni mbali na mkataba halali wa bandari?
Kama Heche anapotosha basi serikali ituweke wazi wananchi wake.
Tunaomba kila kinachosemwa wahusika wajibu kwa hoja.
Tujue kweli au uwongo ni upi
Asante
I salute you kinsmen
Yanga kama wageni wa mechi ya kesho. Na simba kwa wageni
Sasa SIMBA ndio walitakiwa kupigia promo.game yao sio yanga
Kimsingi mwanzo ilikuwa sawa hadi pale simba walipoanza utoto huo na sasa yanga wamelipa hilo na milio ya kubanwa kende imeanza tayari kutoka kwa machawa...
Huyu jamaa ni nani...
Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha...
Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
Kwanini yuko kimya katika utawala huu?
Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
Wana-JamiiForums,
Leo nimeona niguse mabadiliko makubwa yanayoendelea katikati ya jiji la Dar es Salaam (CBD), hususan katika eneo maarufu la Posta linalojumuisha Kata za Kivukoni (Posta ya Zamani) na Kisutu (Posta Mpya). Hili ni jambo linaloonekana wazi kwa mtu yeyote anayepita au kufanya kazi...
Sijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu…
Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu najihisi nimeelemewa sana.
Sina nia ya kulalamika wala kutafuta huruma. Nimejaribu kujishikilia na...
Kuna muda mtu anabadilika, halafu watu wanaanza kujiuliza: “Huyu amepatwa na nini?”
Jana nilikaa nikawaza mambo mengi sana kuhusu maisha, watu na namna tunavyohukumu mtu bila kujua kinachoendelea upande wake.
Nikagundua kuna watu wanapenda sana mtu wa zamani.
Ukianza kukaa kimya, unasemekana...
WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA...
Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito.
Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha akiwa na kila kitu, mwingine anaanza akiwa hana hata pa kushikilia?
Kwa nini wengine wanapata fursa...
Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto wote wanakuwa salama .
Lakini cha kusikitisha ni kwamba hii LCG binafsi nimeshaona mapungufu...
Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima.
Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki...
Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo!
Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki!
Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli.
Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana
CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
Wanabodi,
Utangulizi,
Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.