kanisa

The following list consists of concepts that are derived from both Christian and Arab tradition, which are expressed as words and phrases in the Arabic language. These terms are included as transliterations, often accompanied by the original Arabic-alphabet orthography. Although Islam is the dominant religion among Arabs, there are a significant number of Arab Christians in regions that were formerly Christian, such as much of the Byzantine empire's lands in the Middle East, so that there are over twenty million Arab Christians living around the world. (Significant populations in Egypt, Lebanon, Brazil, Mexico, Jordan, Syria, Palestine, Sudan, Iraq, USA, Canada, UK and Australia.) Christianity has existed in the Arab world since the 1st century. Readers should also note that Arabic is written with the Arabic alphabet, and that different individuals and Christian groups may transliterate certain Arabic words into the Latin alphabet in various ways.

View More On Wikipedia.org
  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je? KANISA LAHITAJI MATENGENEZO?

    Kuna mambo nayaangalia kwa kina na kwa uelekeo kuhusu kanisa kwa ujumla napata ukakasi. Kanisa limekuwa kama kijiwe na kijiwe kimekuwa kanisa. Inawezekanaje kanisa linashindwa kukemea ushoga lakini dudubaya anaweza? Au ndiyo maandiko yanatimia kwamba mawe yatasema?? Hivi Bwana Yesu ni dhehebu...
  2. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania KanisaSmart System ya kumanage shughuli za kanisa (Sadaka,Michango,Ahadi,Mahudhurio,Wageni) etc

    Nimetengeneza System inayorahisisha kazi zako za kanisa inapatikana hapa BUre Laravel Kwasasa tupo na v1.0.0 Preview kwa mahitaji ya self hosting tuwasiliane lakini kwa matumizi ya kawaida unaweza jiunga hapo...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa.

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na historia yake. Akizungumzia kauli ya Makonda kwamba Kanisa linalonyooshea Serikali kidole si Kanisa...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  5. Godman Autodidact

    JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania. Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Makonda umeamua kulidhihaki Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na La Mitume? Nakushauri katubu mara moja.

    https://www.instagram.com/reel/DdtlWSlO3fWaX2wlo2zPZ2DWdTNEdaBVoB03dQ0/?stkn=MXM4ZDdrMHhya2k3bQ==
  7. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Alex Malasusa linusuru kanisa na kashfa ya madeni ya Arusha Corridor Springs. Haipendezi watu wa Mungu kukimbia madeni.

    Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT. Muhtasari wa Suala Hilo: Uwekezaji na Ujenzi: Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania Twitter/X asubuhi ni kama kanisa.

    Asubuhi ukiingia Twitter/X kila Mtanzania aliyepo huko ameposti Tweet ya maombi kushukuru mungu kuamka salama, maombi au sala ya kuomba kwa kwa ajili ya siku mpya, nukuu za maandiko ya Biblia na tweets za kuwaambia watu wamshukuru mungu au tunaanza na mungu.
  10. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Hili la Kanisa la KKKT kuwa na wachungaji na maaskofu wanawake ni chukizo

    Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu? Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani. Haya ni machukizo,ndio mana hili kanisa haliishi migogoro na uchawa.
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linakwenda kupata uamsho wa kipekee sana na litakuwa ni eneo la makimbilio

    Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu. Sina shaka kwa sababu nina uhakika pasi na shaka kuwa na nilichokiona. Kazi ni kwetu tunaosubiria uhalisia...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania NJombe: Mchungaji wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G) adaiwa kutotimiza vigezo vya huduma, kanisa lafungwa

    Baadhi ya waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G), eneo la Mnange, Mtaa wa Lyamkena, mjini Makambako, Mkoa wa Njombe wamelazimika kufanya ibada nyumbani kwa Mchungaji wao baada ya kanisa kufungwa. Waumini hao wanadai kuwa milango ya kanisa ilifungwa kufuatia taarifa ya...
  13. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Kamati ya Bunge ilitaja Benki ya Mkombozi, iliyo chini ya Kanisa, kuwa ni taasisi ya utakatishaji fedha, ilikanushwa?

    Friends and Our Enemies, Katika pita pita yangu leo nimemkumbuka marehem Deo Filikunjombe pale alipokawa anahitimisha kuwasilisha ripoti yake kuhusu yale majizi ya fedha za wizi za escrow ambapo ilitaja watu wengi wakiwemo na maaskofu wa kanisa katoliki na vijana wao kama Anna Tibaijuka katika...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda - Katavi. 🗓️ Agosti 30, 2026. ————————————————...
  15. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwa kumkataa kiongozi wa kanisa, binti yangu kafukuzwa kanisani na kusingiziwa wizi

    Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye. Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania CCM waliomba kanisa Katoliki kuwaleta CHADEMA katika meza ya maridhiano!

    This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

    Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani. Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mfumokristo ulishindwa kuzuia Mali za Kanisa kutaifishwa?

    Jana nilipata fursa kwenda shule ya sekondari Tosamaganga iliyopo hapa Iringa. Nilipokuwa pale nikajiuliza ile hoja ya watu kuwa Tanzania inaongozwa kwa kufuata mfumokristo inatokana na nini hasa. Maana kama Serikali chini ya Mwalimu Julius Nyerere (mkatoliki) ilitaifisha taasisi za Afya...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo lakini siabudu kwenye kanisa lolote, wala dhehebu lolote, ninamwabudu Mungu katika roho na kweli.

    Huyu anajiita Mromani Katoliki, huyu yeye ni mfuasi wa mafundisho ya Warumi na miungu ya Kirumi, si mfuasi wa mafundisho ya Yesu Kristo. Ndio maana hata akitaka kubatizwa, atabatizwa kama wabizavyo Warumi. Huyu mwingine ni Mlutheri, ni mfuasi wa mafundisho ya Martin Luther, sio mfuasi wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Taasisi ya Kanisa la Upendo Masihi (KIUMA) inayumbishwa na wanasiasa mamlaka za Serikali zipo wapi ?

    Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya KIUMA katika Idara ya Elimu. Kwa sasa, taasisi imekumbwa na mgogoro wa kiuongozi unaodaiwa kuhusisha wanasiasa na mfadhili wa KIUMA. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vijana wamefutiwa mikataba yao ya ajira, huku wengine wakinyimwa kuongezewa mikataba...
Back
Top Bottom