P
Reaction score
10,070

Profile posts Latest activity Postings About

 • inatufundisha kitanda ulicho kilalia huwajui ngunguni wake, pia inatufundisha kwamba usiombe msamaha hujahukumiwa bali omba baada hukumu.
  tafadhali naomba nikutafute mie ni muathirika wa mambo ya ndoa ikiwa naweza kukuona nitafurahi sana naomba tuwasiliane tafadhali 'likthom@gmail.com'
  samahani wana jf, mi nimesikia serikali wametangaza walimu wote wachukulie mishahara yao dirishani kama ilivyokuwa zamani eti serikali inadai wmezidi kuiibia! je hii taarifa ni kweli serikali walitoa au maneno tu ya watu? wadau naomba majibu.
  ]WABONGO! PUFDIA
  taasisi ya People’s Unity for Development in Africa (PUFDIA).
  Kwa mujibu wa masharti ya PUFDIA, mteja anayetaka kujengewa nyumba anatakiwa aweke fedha kiasi. Wanaahidi neema kibao kwa wabongo
  Mkulo kalisema uchunguzi mdogo uliofanywa na serikali umebaini kuwa athari za PUFDIA ni kubwa kuliko Deci.
  Alifafanua kuwa wakati kuna wanachama wa Deci ambao wamekwishanufaika kwa kuvuna fedha mara mbili ya zile walizowekeza, hakuna mwanachama aliyevuna tangu PUFDIA ianze.
  Serikali imeanza kuifuatilia kampuni hiyo ambayo maelfu ya Watanzania wamejiunga.
  “Nimezungumza na wakubwa na tayari wameanza kuifanyia kazi kikamilifu," alisema MKULO.
  "Ukiangalia athari za kampuni hii ni kubwa zaidi kuliko hata za Deci kwa sababu angalau watu wachache walifaidika Deci, lakini hii watu hawajapata chochote.” source mwananchi
  WADAU NAULIZA HIVI WA TZ TUMELOGWA AU?
  Hello Pdiddy,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top