"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.
Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM.
Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake
Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu.
Naomba msaada juu ya hili jambo,
Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
Kumekuwa na chapisho linalosambazwa katika mitandao ya kijamii, hususan Facebook na Instagram, likiwa na nukuu inayodaiwa kutolewa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni. Nukuu hiyo inasema kuwa
“Nililenga kutogombea tena ifikapo mwaka 2031, lakini hadi sasa sioni mtu anayeweza kuendeleza...
🖤🇱🇧
Miaka sita iliyopita leo, Beirut ilibomolewa na mlipuko mmoja wenye nguvu zaidi usio wa nyuklia katika historia. Zaidi ya watu 220 waliuawa, zaidi ya 7,000 walijeruhiwa, karibu 300,000 walipoteza makazi yao, na jiji zima liliachwa na kovu katika sekunde chache. Maumivu ya siku hiyo...
Mwigizaji wa zamani wa maigizo lucy Komba ameomba msamaha kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kufuatia mjadala ulioibuka baada ya kuwa moja ya watu waliowahi kuzua kauli tata za maandamano Mwaka Jana.
Baadhi ya wananchi na watumiaji wa mitandao ya kijamii wanamtuhumu Lucy Komba kuwa alikuwa...
Yes wakuu na wadau wa harakati hiZ ndogo ndogo za wajasiriamali, natumaini mko poa.
ANGALIZO
Lengo la uzi huu mbali na kushare uzoefu , ni kuwatia moyo wale ambao huenda wana ndoto ya kufanya hii kitu ila wanasita kwa sababu mbali mbali. Inawezekana kabisa.
HAYA twende sasa.
Mwaka jana ,2025...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja kwa kuhoji “Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?”
Kama hukusoma, bofya hapa ~ Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa...
Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali.
Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana...
Habari,
Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa ithibati kwa wanafunzi wanaohitimu shahada ya Mass Communication mwaka huu.
Kwa sasa, hatuwezi kufanya kazi bila kuwa na ithibati kutoka JAB. Hata hivyo, ithibati ya awali inayotolewa ina muda wa miezi mitatu pekee, ikilenga...
Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni.
Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
Anonymous
Thread
baada
huduma
katika
kituo
kituo cha mwendokasi
kivukoni
kusitishwa
mmoja
mwakamwaka mmoja
mwendokasi
mwendokasi kivukoni
vyoo
Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia
Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu
Hapa tusaidiane...
Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi.
Kikawaida EL Nino huja na sura mbili ,mvua kubwa na ukame wa kupindukia, bikiambatana na joto Kali sana au baridi...
Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi hicho Dr. Jakaya Marisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mzee wa “utapigwa tu”), issue ambayo ilipelekea chama...
Part 01
Nilipofika Congo, kila kitu kilikuwa kipya machoni mwangu. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufika huko, hivyo kila nilichokiona kilinifanya nishangae. Kadiri siku zilivyokwenda, nilianza kuzoeana na watu wa huko na kuishi nao kama nilivyozoea kuishi na watu Tanzania.
Ukaribu wangu na...
Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bunda
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kada
katika
kilimo
kujikimu
mpya
mwaka
tuna
Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze.
Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie.
Nini aepuke ili asijekupotea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.