simu

 1. Meneja Wa Makampuni

  Orodha ya bei za simu mbalimbali tunazo agiza kufika Tanzania siku 12 hadi 14

  Hizi ndio orodha ya simu mbalimbali tunazo agiza Simu ni original mpya new kabisa. Tuna safirisha kwa ndege mpaka Dar es Salaam kisha tunakutumia mkoani. Samsung Phones Samsung A32 4G 64GB: TZS 390,000 Samsung Galaxy Note 10inch: TZS 253,500 Samsung Fold2: TZS 1,131,000 Samsung S21 2sim 128GB...
 2. S

  Hivi kwanini wanafunzi wanakatazwa kuwa na simu shuleni? Tunajenga ama tunabomoa?

  Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni? Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn anakatazwa. Nini kinaogopwa, 0 kwa gharama ya kuwanyima wanafunzi kupata maarifa?
 3. stabilityman

  Shtuka biashara ya simu inatajirisha

  Ohoooo...... Kama haujaaambiwa acha mimi nikuambie...... Kama umepata location nzuri Hii biashara unatajirika mapema tu.wabongo amkeni
 4. Lanlady

  Kuelekea 2025 Mitandao ya simu inapaswa kutoa ufafanuzi hii kauli ya Nape haitakiwi kupuuzwa hata kidogo

  Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe ufafanuzi. Je, ni maelekezo kutoka juu? - Malalamiko yangu kwa mitandao ya simu, hasa Halotel na...
 5. Ndondocha mkuu

  Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: soma yaliyonikuta unaweza jifunza kitu.

  Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
 6. jangos

  Ilikuwaje ukaibiwa simu??

  Habari zenu Nimeanzisha huu uzi ili kupata experience ya kutunza simu zetu zisiibiwe, kama umewahi kuibiwa unaweza kutuambia ilikuwaje!
 7. Tlaatlaah

  Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

  Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
 8. W

  Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

  Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
 9. doctor mwanafunzi

  Wakala kuomba simu yako kuhakiki

  Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi kilichobaki kwenye account ya mteja. 1: mteja alietoa hela na kubakiza kiasi kikubwa sana kwenye...
 10. Girland

  Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

  Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
 11. Heart Wood.

  Wenye mazoea ya kutopokea simu mnakera, si uungwana, mbadilike!

  Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea. Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele...
 12. Replica

  Vijana 2 wachomwa moto kwa madai ya wizi wa simu Arusha

  Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
 13. Yule girl

  Msaada anayeweza track simu kujua iko wapi

  Samahani nahitaji mtu anayeweza nisaidia katika hili tuingie deal anisadie kutafuta Location ya mahali ilipo simu yangu.
 14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

  Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

  Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
 15. O

  Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

  Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated...
 16. GoldDhahabu

  Acheni kukejeli simu za watu!

  Samsung ni simu, na Infinix ni simu! Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure. Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji! Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na ITEL waache hiyo tabia mara moja. Hawajui jinsi wahusika walivyohenyeka kuzipata.
 17. Mjanja M1

  Unatumia simu gani?

  Unatumia simu gani, na umenunua Shilingi ngapi? Fanya ku-screenshot picha ili uzi unoge zaidi. Mimi Mjanja M1 natumia iPhone 15 Pro nimenunua 4 Million.
 18. steve_shemej

  Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

  Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
 19. Mr Why

  Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

  Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
 20. VINICIOUS JR

  KUNA DEMU KALA VITU VYANGU HAJIBU SMS WALA KUPOKEA SIMU

  Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
Back
Top Bottom