• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

marekani

 1. Tz boy 4tino

  DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

  DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday. "We've been chosen to conduct these tests,"...
 2. miki123

  Kumbe Marekani inaikamua Korea Kusini pesa ya ulinzi kiuonevu

  Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili ya ulinzi. Hivi karibuni Ikulu ya marekani imeitaka korea...
 3. ANCIENT FROM EGYPT

  Hapo Zamani Nchini Marekani.

  Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni. #History Is Great#
 4. Sanitizer

  Urusi yaisaidia Marekani kupambana na corona

  Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani! Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake wa muda mrefu na hivyo hapa tunavyoongea ndege ya Urusi ya kijeshi aina ya AntonovAN124 upo angani...
 5. M-mbabe

  Kutolewa kwa Mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania: Marekani yaeleza msimamo wake

  Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa. Soma waraka wao huu...
 6. S

  Marekani: Vifo vya corona vyafikia 4000, watu zaidi ya 900 wamefariki jana pekee

  Hali ya corona yawa mbaya zaidi nchini Marekani. Visa vya maambukizo vilivyothibitishwa vyazidi 180,000. Watu zaidi ya 4,000 wamefariki kwa corona, huku jana (31 March) ikiripotiwa idadi kubwa zaidi ya vifo kwa siku, 912.
 7. N

  Hivi hawa viongozi wa Marekani wanatumia mbinu gani kumwaga madini kwa muda mrefu hivi?

  Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu. Nawakumbuka kina Obama na...
 8. kavulata

  Afrika huu ndio wakati wa kuikuta Ulaya na Marekani Kiuchumi

  Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
 9. B

  Vifo Vinavyotokana na Magonjwa ya Mafua vs Ugonjwa wa Corona Ulaya & Marekani

  Najua kuna watu wanafatilia sana na kushtuka na idadi ya watu wanaokufa huko Italy kutokana na ugonjwa wa korona. Vifo hivi vimeleta hofu kubwa kiasi kwamba watu kusitisha shughuli zote ili kuzuia maaambukizi. Kwa muktadha huo nimependa watu hasa wa dunia ya tatu kufahamu magonjwa ya mafua na...
 10. technically

  Tujiandae kwenda Ulaya na Marekani kuwekeza baada ya CORONA

  Baada ya Corona Marekani Na Ulaya kutakuwa na fulsa kibao za ajira both skilled, semi skilled & unskilled labour. Kutakuwa na fulsa za uwekezaji hasa kwenye kilimo na hisa za makampuni mbali mbali maana hisa kwa sasa zinashuka kwa kasi sana kwenye masoko ya hisa Marekani na Ulaya. Fulsa...
 11. T

  Marekani Waiomba China msaada

  CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan Source...
 12. miss zomboko

  Marekani na China zaungana katika kupambana na Corona

  Rais wa China amesema nchi yake na Marekani lazima ziungane kupambana na janga la Corona, huku mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wakitakiwa kufikia mpango wa kuuokoa uchumi wao uliodhoofishwa kutokana na janga hilo. Rais Xi Jinping wa China pia ameitolea wito Marekani kuimarisha uhusiano wa...
 13. beth

  Marekani: Rais Donald Trump asaini amri kuzuia watu kukusanya na kupandisha bei bidhaa zinazohitajika kudhibiti Corona Virus

  President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said. “This sends a strong message - we will not let those hoarding vital supplies & price gougers to harm the health of America in...
 14. Synthesizer

  Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

  Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa...
 15. Mdaiwa-Sugu

  Tetesi: Corona virus: lran imekataa msaada kutoka Marekani

  Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona nchini mwake. Katika taarifa yake hiyo Khamenei alirejea kuizungumzia dhana ya kwamba virusi hivyo...
 16. Analogia Malenga

  Marekani ni kinara wa utakatishaji pesa, Jinsi wala rushwa wanavyoharibu demokrasia

  Marekani ndio kichaka kikubwa cha pesa chafu ulimwenguni. Hazina ya Mrekani inakadiria kuwa $ 300bn hutakatishwa kila mwaka, hii ni sehemu ndogo ya namba halisi. Mbaya zaidi, serikali haijui ni nani anayedhibiti kampuni ambazo hutakatsha pesa kwa sababu Marekani haina taasisi inayoshughulikia...
 17. mlakimtoto

  Rais wa Marekani awakasirisha Wachina kwa kauli ya kunyanyapaa

  Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Geng Shuang amesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipoita Corona virus "Chinese virus". Kauli hiyo haijawafurahisha kabisa Wachina kwani inaonesha unyanyapaa. ====== Donald Trump has referred to the coronavirus as “the...
 18. M

  Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

  Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
 19. miss zomboko

  Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

  Rais Donald Trump ametangaza hali ya dharura kutokana na kuenea kwa virusi vya corona, pamoja na upatikanaji wa karibu dola bilioni 50 kama msaada zaidi wa serikali ya shirikisho kupambana na ugonjwa huo. Trump ametoa tangazo hilo katika mkutano na waandishi wa habari na kusema kwamba hali...
Top