Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.
Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
ZAIDI ya Sh milioni 39 za fedha za Tonetone za CHADEMA zilitolewa kwenye akaunti kati ya Agosti 18 na 19, huku Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, akiiambia Mahakama kuwa hafahamu kuhusu fedha hizo, licha ya kueleza baadaye kuwa yeye ndiye anayesaini fedha zinazotoka.
Hayo yalijiri...
Job Mrema: Ni sahihi ubaguzi ni kinyume na Katiba yetu ya Tanzania?
Mnyika: Ni sahihi.
Job Mrema: Yale makusanyo ya Tonetone kuna uamuzi ulifanyika kuwa kuna wachache wanufaike na wachache wasinufaike angali wengine wapo?
Mnyika: Sio Ubaguzi. Na ungetaka walipwe wote ukirudi ofisini mshauri...
Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026
Leo September...
Shahidi MBABE kuliko WAKILI 🤣
Wakili: Una Akili timamu?
Shahidi: Nina akili timamu kuliko wewe na bosi wako
Wakili: Unajua asiye na akili anatabia ya kuijiona ana akili kuliko wenzie?
Shahidi: Hapana asiye na akiili anatabia ya kuuliza sana wenzie kama wapo timamu.
Wakili; Naona ile kauli...
Majibu ya John Mnyika yanadhihiridha uwezo mkubwa wa akili wa John Mnyika dhidi ya maswali yasiyo na weledi ya Katuga. Sijui kwa nini serikali inapendelea kuwa na mawakili matapeli wa taaluma!!
Angalia maswali machache ya wakili duni wa serikali kwa shahidi mwenye akili kubwa John Mnyika...
Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho
Leo September...
Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni halali kabisa CHADEMA kupoteza muelekeo na kukosa Msisimko wa hoja na sera pamoja na ajenda zenye Kugusa Mioyo ya watu. Chama kwa sasa kimejaa watu wenye akili ndogo ,Elimu ndogo na ya kuunga unga kwa gundi na supagluu.
Chama kimejaa na kusheheni wanachama ambao...
Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake.
Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri.
Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari.
Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika anapanda kizimbani.
Anasimama KATUGA anasema atakuwa na maswali machache labda kama...
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?
Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:
“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo...
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema, amemtaka Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kueleza ukweli kuhusu kilichotokea kwenye akaunti za chama hicho za Instagram, X na YouTube, akimtuhumu kunufaika na...
Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa.
Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
Shalom Makamanda,
Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
Nimeona tone tone Mwanza imeingia mtaani, Mnyika na Heche njoooni mtaani mbebe Hela tunazo sisi hatuwezi tumakwa simu au benk HAYA majamaaa yatatunyaka sisi ni nyoka jeusi tupo nao ndani njoooni mtaani tutakutana niwape tone tone
John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
baraza
baraza la wazee chadema
chadema
chama
kanda
kanda ya kati
kati
makamu
makamu mwenyekiti
mnyika
mwenyekiti
mwenyekiti wa chama
tume
ufisadi
wazee
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.