kuomba

  1. Imani rubaba

    Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender

    Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender 👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
  2. K

    Dunia hazibadiliki, mitizamo ya watu hubadilika!

    Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na Hekima,na aombe Dua kwa Mungu,awapaye wote kwa ukarimu,Wala hakemei;naye atapewa. (Yakobo 1:5). Zingatia jinsi utamaduni unavyobadilika kadiri muda unavyopita.Kanuni za kijanii zinabadilika: Mambo yaliyokuwa yanakubalika hapo Swali hayakubaliki Tena,na...
  3. M

    Nimetengwa kanisani baada ya kuomba account namba ya Yesu ama Mungu nimuwekee Zaka zake, fungu la kumi. Wanalazimisha wao ndio wampokelee Mungu hela

    Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu, binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
  4. K

    Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?

    Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?
  5. Yoda

    Trump: Kuna nchi zinabusu 'makalio' yangu kuomba makubaliano!

    Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
  6. R

    Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  7. Natafuta Ajira

    Katika watu wanaojua kutuchonganisha na Mungu ni hawa wanaokuja kuomba hela bar

    Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
  8. T

    Hawa vijana wanaopita mitaani na vigoma na masinia kuomba hela wanajengewa maadili gani!?

    Sijui ni mafundisho ya dini au ni namna tu ya kujibwwteka nakerwa sana na huu utaratibu wa vijana wa umri mdogo wanaopita mitaani wanapiga vigoma na kuomba hela na ni bahati mbaya watoa hela nao hutoa vimiamia tu. Kwa hiyo unakuta mle kwenye sinia ama ungo kuna vimiamia vingi kweli. Kwa mtazamo...
  9. L

    Aina za Taarifa Unazotakiwa Kuwa nazo Wakati wa Kuomba leseni Kundi A

    Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi. Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A. 1. Taarifa Za Directors Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za...
  10. D Metakelfin

    Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Habari, Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi? Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense. Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee. Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na...
  11. Dennis Roberts

    Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  12. Ojuolegbha

    Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali

    TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali. Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo. Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  14. ngara23

    Watoto wapiga dufu kuomba ovyo kipindi cha mwezi Ramadan ni utamaduni wa ovyo

    Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
  15. The ice breaker

    Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

    Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane .. Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia .. Kesho...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  17. Cute Wife

    Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  18. R

    Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  19. Wakwetu03

    CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  20. T

    Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
Back
Top Bottom