"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini".
"Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari
Chanzo: EATV
Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu
Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi .
Mapenzi ya kweli
Ni cha wote
Ushirikina / Ndumba
Bahati
ama kuna cha ziada
Hello,
How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1. Mrefu mweusi
2. Umri wangu 30
3. Graduate, Christian
4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia
,wala sivuti sigara, wala siendi club
5. Ninaishi Dar es salaam
Sifa za mwanamke nimtakaye
1. Uwe...
Habari wana JF.
Milioni 18 tu unapata nyumba ya vyumba 3 na sebure maji yapo umeme ni kuvuta tu . Location ni Saku mwisho karibu na mwanagati Dar es salaam HAKUNA UDALALI.
Hivyo basi.
∆ Kama ukipangisha ✓
∆ Kama utageuza kuwa sehemu ya ufugaji ✓.
∆ Kama utahitaji kuishi ✓...
Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about...
Usile tigo ni hatar sanaaa kwako kwa sababu katika uume wako kuna mirija miwili mrija wa mbegu za kiume na mrija wa maaji maji ya kubeba shahawa .
Maji maji ni mengi sanaa shahawa no chache hata huwez kuziona ila majimaji unayaona.
Kinyesi kikiingia kwenye mrija wa majimaji ya shahawa...
Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya.
Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani.
Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya...
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise...
Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa.
Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni”
Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali
🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako
Ila wake...
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi
Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru
Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.
Mungu atamlipia Manara
Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
Habari wakuu
Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba .
Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
Bamia Ni Nini?
Bamia ambayo pia inajulikana kama okra, ni mboga inayopatikana katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni. Bamia inaweza kuliwa mbichi au kupikwa katika njia mbalimbali, kama vile kuchemshwa, kukaangwa, au kuingizwa katika mchuzi.
Bamia ni mboga yenye virutubisho vingi vinavyosaidia...
Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo!
Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious.
Swali ni moja:
Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu?
Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.