aina

 1. Emmanuel Kasomi

  Mfahamu Grand P, Msanii mwenye mvuto wa aina yake

  Jina la kuzaliwa: Moussa Sanguiana Kaba Mwaka wa kuzaliwa: 1990 Umri: Miaka 31(mwaka huu 2021) Kuzaliwa: Sanguiana (Guinea) Raia: Guinea Kipaji: Mwimbaji, muigizaji, mtu wa mitandao ya kijamii na mwanasiasa Aina ya muziki: Hip hop Miaka ya kazi: Tangu 2019 suala la kiafya: Kuugua...
 2. W

  Nini kimepelekea kutokuwepo kwa kesi za aina hii?

  Habari wana jukwaa, naomba nijielekze kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa serikali ya awamu ya tano chini ya hayati Magufuli ilikuwa ni nadra sana kupita week tatu, mwezi au miezi miwili bila kukamatwa na hatimaye kupelekwa mahakamani raia wa kawaida, wanasiasa au wanaharakati wakikabiliwa na...
 3. Sky Eclat

  Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

  Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
 4. MziziMkavu

  Fedha ya matumizi ya kawaida kuwa kubwa kuliko ya matumizi ya maendeleo ina maana gani?

  BAJETI ina matumizi mengi ya kawaida kuliko Matumizi ya maendeleo ya nchi? Hivyo kweli tutaendelea nchi yetu kiuchumi? Bajeti aliyotoa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu ili ipitishwe na Wabunge ni bajeti mbaya haifai kupitishwa Wabunge. Tunamuomba Waziri wa Fedha na Mipango Dkt...
 5. N

  Tyre aina ya linglong 185/70/14. Kuna namba imeandikwa 1221 muuzaji ananiambia ni ya mwaka huu je ni kweli?

  Wataalam habari za asubuhi.Jana kuna jamaa yangu kanunu tyre za gari aina ya LING LONG Size 185/70/14R0 Kuna mahali zimeandika 1221 muuzaji kamwambia hizi ndio mpya za mwaka huu je ni kweli? Naomba kujuzwa maana halisi ya hiyo namba kwenye Tyre.
 6. Khalifavinnie

  Mtu huyu ni wa aina gani?

  Mwenye aibu sana Mpole na mtulivu Mkatili sana na mvumilivu pia Muhuni wa kimyakimya na mchonganishi pia wa siri Mwenye kupendelea sana kutenda mambo yake usiku Mzembe kwa matazamio ya nje ila ni mjanjamjanja sana kiuhalisia Mzungumzaji sanaa ukiwa na ukaribu nae lakini huwa anabadirika...
 7. Mancobra

  Sijui huyu mwanamke ni wa aina gani?

  Me: Asante Her: nikuulize kitu? Hahahaha, nkajua maswali yanaanza kama kawa, nkajiuliza nikisema nkomalie picha atasusa, ngoja tu aulize maswali siku akiwa kweny good mood atatuma picha. Me: yeah, uliza (nilijbu kinyonge Sana) Her: ushawahi kusex. Songa nayo.... Hili swali niliona Ni swali...
 8. Magari Nusubei

  Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

  Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
 9. A

  Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

  Habari, Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu, Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
 10. O

  Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

  Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
 11. Sky Eclat

  Wanaume wa aina hii wanapotea kwa kasi sana duniani

 12. Mancobra

  Sijui huyu mwanamke ni wa aina Gani?#2

  Ilipoishia... Mara paaap, jion ikafika, nkamtafuta whatsapp, akawa yupo online nkamtext akaitika, baada ya salamu nkaomba picha. Sasa hapo ndo yakaanza mapicha picha yenyewe. Songa nayo.... Badala ya kutuma picha akaanza ngonjera na maswali Kama kawaida yake. Her: ucjali ntatuma but, nataka...
 13. Mancobra

  Sijui huyu Mwanamke ni wa aina gani?

  Sijui huyu ni demu wa aina gani? Ipo hivi; one day usiku ilinitafuta namba ngeni kwa sms(ilinitext Mambo), sikutaka kuchelewa nikapiga, najua wanangu wa halotel mnajua wingi wa dakika za halotel kwenda halotel. Basi bana, sauti iliyosikika upande wa pili ilikua ya kike. Mazungumzo yalikua hivi...
 14. Sky Eclat

  Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

  Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa. Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
 15. W

  Mashine moja inaweza kutoa kila aina ya malisho ya majini

  1 Teknolojia bora ya kudhibiti saizi ya chembe ya kulisha Matokeo mengi ya utafiti nyumbani na nje ya nchi yanaonyesha kuwa wanyama wa uzao maalum na hatua maalum ya kulisha wana saizi bora ya chembe ya kusagwa kwa bidhaa zilizo na fomula maalum ya kulisha, na saizi hii ya chembe ya kusagwa ni...
 16. M

  Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

  Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k. Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
 17. Erythrocyte

  CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

  1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka 2. Kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka 3. Kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka 4. Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka 5. Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo...
 18. Patriot

  Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

  Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi. Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
 19. K

  Msaada wa aina tano za shahada ambazo hata nikikosa serikalini naweza kujiendesha

  Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
 20. mathsjery

  Hadi leo hii kuna wanandoa wanashare simu (This is modern world modern)?

  Mawasiliano ni nyenzo moja nzuri na muhimu kwa wanandoa. Iwe umesoma au haukusoma, uwe kijijini au mjini, uwe na hela nyingi au chache lakini huwezi kosa kabisa. Hebu tafakari, unaoa ama kuolewa na mtu mmnayependana. SASA UKIWA UNATAKA WASILIANA NA MWENZIO INABIDI UPIGE KWA JIRANI, NDO...
Top Bottom