Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Wasalaam
Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana welding wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni
Mara mbili napanda bajaji tunasurika na ajali...gari ziko kwenye mwendo yeye anafosi kuingia
Leo aliingia kwenye lane ya...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji.
Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
Mimi naomba kujua chimbo la furniture za kichina. Kuanzia makabati ya jikoni, sofa, vitanda NK, pia vifaa vyote vya ujenzi. Kama una number za simu please share .
NB, ni ktk kutafuta unafuu wa bei, sio kuua biashara za wazawa 😜
Asante
Nikijana mchapakazi, mwenye hofu ya MUNGU, pia ni mwaminifu, Elimu yangu na stashahada(diploma) secondary education(physics, biology),kwa upande wa VETA kama nikipata sponsor hata sasa, nipo tayari kwenda ila kwa sasa, Mimi ndio Baba Mimi ndio Mama🙏.
Habari za asubuhi wanamjengo, hapa wala sitakuwa na maneno mengi twende moja kwa moja kwenye mada hapo juu .
Nina shida na hospital ambayo ina huduma nzuri za madaktari bingwa wa wanawake zilizopo dsm bila kujali ni hospital binafsi au za umma.
Mwenye uzoefu na hili anijuze asante.
Nina safari hivi karibuni kwenda mkoa wa Mara Butiama naomba kujua yafuatayo:
-Je mabasi yanaondoka asbhi saa 12 au muda wowote?
- Safari kutoka Dar mpaka Butiama inachukua masaa mangapi mpaka kufika?
- Sehemu ya kufikia inayoridhisha nikiwa hapo Butiama.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025.
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri leo tarehe 17 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura vya...
Wakuu
Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam?
Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?
Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la...
Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini.
Hakika...
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu
Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU
Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025.
Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana.
Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia.
Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.
Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.
Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.
Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
Mhusika katika picha anaitwa PROSPER MHINA KWINGWA. Mkazi wa Karakata airport Dar salaam , ana matatizo ya afya ya akili.Hajaonekana nyumbani tangu tarehe 25/02/2025 .Taarifa imetolewa Polisi . tafadhali wasiliana na kituo cha polisi cha karibu au kwa ndugu kupitia namba zifuatazo 0754210337 au...
Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Wakuu
Nimemiss kula mboga za asili,kuna anaejua wapi kwa hapa Dar naweza kupata hii mboga ya majani inayoitwa mgagani?
Ni mboga maarufu zaidi huko kanda ya ziwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.