Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, John Mrema amesema kuwa CHADEMA imeua ndoto za wanachama wengi waliotaka kugombea kwenye Uchaguzi ba kuongeza kuwa hana uhakika kuwa kama chama hicho kitakuwepo hadi kufikia mwaka 2030
"Jambo la pili ni chama chetu kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi na...
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME.
Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??.
Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.
Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi.
Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
Rais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania, na Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Mb), Spika wa Bunge la Tanzania, pia Rais...
Naam.
Julius Mwitta anapasua mbarika, kumbe mwenye G-55 yupo na hamsemi. Haha.
===
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema; "G-55 ilizaliwa kutokana na kikao kilichoitishwa na Katibu wa Chama. Wakati huo mimi bado nilikuwa Katibu wa...
John Mrema (Kushoto) Freeman Mbowe (Kulia)
I. Utangulizi
Kundi la watiania 55 ndani ya Chadema, wakiongozwa na John Mrema, limethibitisha kwamba hoja za kikambi zilizoibuka wakati wa uchaguzi ndani ya Chadema bado zinaendelezwa na Timu...
Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!
Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!
Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na...
Hili swali la kiufundi sana. Kwamba tunazuia uchaguzi kwa kuwa huko watu wanakufa, hatutaki waendelee kufa.
Lakini tunataka kuwatumia watu hao hao kupambana na majeshi ya nchi kuzuia uchaguzi. Hiyo ni akili au matope? Obvious watadhurika watu wengi.
John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko.
Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe?
Mimi hata...
John Mrema
Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma.
Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI.
Anachomaanisha ni...
Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi
Mrema ni genius political mind
"Nyie waandishi, hivi mmewahi kumfuata mwenyekiti wa chama mkamuuliza nia yake ya kugombea Urais aliyoandika barua ameshaituma kwa katibu mkuu? Mlishawahi kuuliza hilo swali? kwahiyo na sisi ni watia nia kama yeye alivyo mtia nia wa Urais na sisi tupo hapo hapo."
"G55 haimaanishi tupo 55 tu, imetumika kama alama ya kuwakilisha kundi hili ambalo liliundwa baada ya Katibu Mkuu kualika wagombea wa mwaka 2020 na waliotia nia mwaka huu, baadaye tuliunda kundi la WhatsApp na hivyo ndivyo kundi hili lilivyoundwa , na kwenye kundi letu la G55 tuna wajumbe wengi...
#UPDATES Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, ameonesha masikitiko yake kuhusu taarifa iliyotolewa na chama hicho kuhusiana na tukio la shambulio dhidi ya kiongozi wa wanawake taifa wa chama hicho (BAWACHA). Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X...
Soma mwenyewe uone toka a/c yake huko X......
Umezoea kusema uongo sana na ndio imekuwa silaha yako mara zote kushambulia watu na kuwafanyia bullying ili wakae kimya .
Kwa taarifa yako siku za nyuma nilipokuwa kiongozi nililazimika kuukalia kimya uongo wako ili kulinda maslahi mapana ya...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, ameonesha masikitiko yake kuhusu taarifa iliyotolewa na chama hicho kuhusiana na tukio la shambulio dhidi ya kiongozi wa wanawake taifa wa chama hicho (BAWACHA). Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.