ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  2. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo ngoma za asili nzuri zaidi Tanzania.

    Japo kila watu na ladha zao. Kwa duniani ngoma za Japan(Taiko) hazina mpinzani. Hawa jamaa wapo serious sana na swala la ngoma. https://youtu.be/1HHic-ylhOE?si=zNbIbbQyO7OqByCn Kwa Afrika Waburundi hawana mpinzani. Hawa hata kwa dunia huwezi kuwatoa top 5. Hawa jamaa wanazunguka dunia nzima...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Iran ngoma inazidi kuwa nzito wakati vikwazo vikianza kuuma.

    Mauzo ya mafuta ya Iran kwenda China yaporomoka kutokana na shinikizo la Marekani. Wakati shinikizo la kiuchumi la Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran likiendelea kuongezeka, usambazaji wa mafuta ghafi ya Iran kwa wanunuzi wa China umepungua kwa kiasi kikubwa huku bei zikipanda; hali...
  4. papag

    JamiiForums Tanzania Sikiliza ngoma hiyo ya Wenge Musica

    https://music.youtube.com/watch?v=Lzkj8FYVwQo&si=qy_RfMxgUxZioknh Haya hapa mashairi yake kwa kiswahili . Version:1.0 StartHTML:0000000156 EndHTML:0000117645 StartFragment:0000000469 EndFragment:0000117637 1. Mwanzo Naboyi koya epayi na bino — Sitaki kuja kwenu. Yaya na yo azalaki se ko...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Fred ngoma ni mwananchi

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU LONDON BOY
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran sasa hivi anapigwa Kama Ngoma na Majeshi ya Marekani!!

    Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!! Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho visivyo na tija!!! Sambamba na kauli za Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii, Jeshi la Anga...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya AliKiba mac muga ilikua na video iliyokua mbele ya muda sana

    Kuelekea miaka 30 ya bongo fleva kuna baadhi ya ngoma zilikua mbele ya muda sana ukiachana na ngoma ya alikiba mapenzi yana run dunia ila video ya macmuga ilikua kali mno kwa kipindi hicho kwanza mandinga ya kwenye video yalikua hot 🔥 pia location director Ali fanya makubwa mnoo...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ngoma ya kiingereza ninayoweza kuiimba mwanzo mwisho

    https://youtu.be/N6O2ncUKvlg?si=nuAR6g3nr-ZE7494 Hii ndio ngoma pekee naweza kuiimba mashairi yake mwanzo mwisho yaani😆😆😆😆😆🤣.. I'm proud of myself yaani... Ukimaind it's up to yeah.
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nani kaimba ngoma hii mpya " Malebo" Ina trend sana kwenye bars and lounge.. Ina bonge la vibe

    Ebana bonge la ubunifu hii sasa mara ya pili nikienda kwenye bars kubwa kubwa kucheki kombe la dunia katikati ya magoma makali linapigwa hili goma la malebo na watu wana vibe Kinoma noma. Natambua Malebo original was a gospel song by Faustin Munishi that came out in 1994. But about this one...
  10. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda President Museveni Welcomes Egyptian Investors for Major Dairy Processing Plant in Ngoma

    President Yoweri Kaguta Museveni has endorsed a promising investment proposal from Egyptian partners to establish a modern milk processing facility in Ngoma, Nakaseke District, as part of efforts to boost value addition in Uganda’s thriving dairy sector The President met the delegation on...
  11. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Aliyeitengeneza Hii video ya hii ngoma alikuwa hadi kero.

    Sijui ni hansacana au Dr Adam juma wa Visual lab?https://youtu.be/DkoeNLuMbcI?si=rzXCMpXgCfm7y2dl
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole

    Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole. Sijui kama tutapata usingizi. Ibada yenyewe ni kesho lkn mziki ushaanza usiku huu tena mkubwa
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hormz ngoma nzito Rais wa Iran ambiwa na IRGC kaa pembeni..

  15. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Behind the Beat: Jinsi G-Funk Ilivyozaliwa Katika Wimbo Wangu.

    " I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it. Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code. "Uh uh uh uh uh uh uumh Uh uh uh uh uh' u' umh Uh uh uh uh uh uh uumh" start with my mouth Kick- "uh"...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Leo nilipata time ya kuskilizia Ngoma za Tupac Shakur...one by one aise huyu jamaa alikua machine.

    County down
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ngoma Usipime ya Khaligraph; nani kafunika?

    https://youtu.be/wcK3l4KHXY4?si=siBxITGpZlXWmDha Humu kuna Chid, Cannibal Kichwa Kibovu, Jones mwenyewe, Belle 9, Stamina na Jay More Nani amefunika wengine? Kwangu naona Cannibal kachana vibaya sana. Nimefurahi kumuona karudi.
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

    Msemaji wa kundi la waasi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Willy Ngoma, ameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mashariki mwa DRC siku ya Jumanne. Reuters imemnukuu mwanadiplomasia wa eneo hilo, afisa mmoja mwandamizi wa kundi hilo na mshauri wa serikali ya nchi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aziz Ki Ngoma ngumu kwa waarabu, atajwa kurejea Yanga

    Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu. Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa kiungo mshambuliaji Stephen Aziz Ki. Hoja kuu ni kwamba changamoto wanazokutana nazo mara nyingi...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zipi ngoma zako kali 2025?

    Mwaka 2025 ulijaa burudani ya muziki wa viwango vya juu kutoka kila kona ya dunia. Bongo Flava imeendelea kubeba utambulisho wa Afrika Mashariki, Afrobeat ikizidi kutawala majukwaa ya kimataifa, Gospel ikigusa mioyo kwa ujumbe wa matumaini, huku Hip Hop ikiendelea kuwa sauti ya kizazi. Nyimbo...
Back
Top Bottom