wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Niliishi Mbeya kuna maswaibu yalinikumba sitosahau, mpaka nikahama!

    Na huo ndo ukweli Wanaroga vibaya sana Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri 3 za Mafanikio ya Wachawi na Somo Kwetu

    1. WAKO MAKINI NA MAMBO YAO. Hawataki mchezo kwenye harakati zao za uchawi wakiambiwa lazima upatikane unyayo wa paka basi atamtafuta paka siku nzima na kwa gharama yoyote paka ampate. Lakini wewe ukiambiwa toa chakula kwa mayatima ili ufanikiwe utaanza sababu mia kidogo unaona unapoteza hela...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Uchawi Upo, Wachawi Wapo na Wanaloga!, Anayeruhusu Kulogeka ni Wewe Mwenyewe!, Unaweza Kuzuia Kulogeka Kwa Imani! na Ukawa Hulogeki!.

    Wanabodi Japo uchawi upo na wachawi wapo na wanaloga!, anayeruhusu hicho kilogo kikufikie, au uchawi ukufikie, na kulogeka ni wewe mwenyewe bila kujijua, wewe unao uwezo wa kuzuia kulogeka bila kwenda kwa mganga yeyote au bila kutumia zindiko lolote bali ni kwa kujitambua tuu kwa kutumia...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Siasa za upinzani na maneno ya tumaini vs kiboko ya wachawi na ukristo wake.

    Watu wapo kazini katika kutafuta riziki kwa maneno matamu matamu yenye matumaini kwa wale waliokata tamaa,wanaofikiri pengine kubadilika kwa serekali huenda watafadika kwa namna fulani na maisha yao kubadilika/ vs maneno ya nabii kiboko ya wachawi juu ya kuwapatia watu maneno yenye tumaini ya...
  5. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Unga wa muhogo na usembe ni dawa za kuwaona wachawi

    Nilikuwaga siaminigi uchawi mpaka nilipowaonaga live nilivyoenda tabora mayombo .kwanza kwenye bati unasikia mchanga unachuruzika na vishindo mwenyeji wangu akaniambia wachawi hao nikambishia kwamba wachawi hawapo akanipa unga wa muhogo nipake usoni ila akanipa tahadhari nisipige kelele wachawi...
  6. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania 'Kiboko ya wachawi' anatutukana sana watanzania

    Kama utapitia mtandaoni hasa tiktok utakutana na mtu anaeitwa KIBOKO YA WACHAWI, huyu anatutukana sana na kutudharau. Lakini kwanini amefika hatua hii japo nimekuja kumfahamu/kusikia baada ya kufukuzwa,kwamba alikuwa anachukua laki tano tano ili kumuona. Kuna muda mpaka mtu unapigwa na...
  7. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

    Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu Mfano njia za Kisayansi/teknolojia Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri, Kisiasa/kidemokrasia Kwenye siasa naona...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Chuki kwa viongozi ni matokeo ya maandalizi finyu ya wazazi wetu, either wazazi wetu walikataa shule wakashindwa kusoma na kupata ajira wakati wa Mwinyi au wazazi wetu ni wale ambao walikuwa wachawi Kijijin ambao kazi yao ilikuwa ni kuloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati Kijijini sasa ndo hao...
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  10. senkoP

    JamiiForums Tanzania Wachawi

    Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa kwenye kukarimu wageni huwa mstari wa mbele hata kama kumeshapangwa Shekhe au Mchungaji atakula wapi...
  11. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya wazi ya Washika Dini na Wachawi. Mshindi kundoka na laki 5

    Shalom shalom Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili. Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao...
  12. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  13. To yeye

    JamiiForums Tanzania Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

    Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli? Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ishara kama Aina za Wachawi

    Mchawi wa moto Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk. Mchawi wa Kijani Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi. Mchawi wa Kioo Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Alianza Kiboko ya Wachawi sasa Tony Kapola naye kuwadharau "Wajinga wanaoamini kwenye Manabii Fake"

    Habari za Sabato! Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa. Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango. Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye...
  16. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki kitu kinaitwa sleeping paralysis ni cha kweli au ni wachawi wanafanya yao

    Hiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala badala yake inaweza ikakukuta mara 2 kwa mwezi,wewe endelea kuamini ni sleeping paralysis kumbe wasihiri...
  17. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Wachawi wamefanikiwa kuniogopesha kulala ghetto

    Aisee wakuu,...ndugu yenu saivi yapata siku ya nne silali kwa amani kabisa. Siku ya jana nikiwa tayari nimesinzia nilishtushwa na kitu ambacho kilikuwa kinanitambaa mkononi kinaanzia kwenye vidole hadi begani.,bhasi nikashtuka nikarusha shuku,nikajipangusa kwa kiwewe huku naweweseka,,nikawaza...
  18. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wachawi wanaaminika kuwa na uwezo wa kuzungumza na wafu ili kupata maarifa ambayo wao huita hekima

    'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza. Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
  19. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

    Wasalaam We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6. Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
  20. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

    Braza mshana hii kitu ni nini. WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
Back
Top Bottom