certificate

 1. I

  Diamond azawadiwa certificate na YouTube baada ya kufikisha 3m subcriber

  Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi. Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
 2. Isaack Kyando

  Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

  Wadau, naomba msaada kuhusu Verification Certificate ambayo inapatikana kwenye Ajira Portal. Sehemu hii ni ya ku-add vitu gani?
 3. M

  Umihimu Wa Kitambulisho Cha NIDA ni nini?

  Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini? Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo. Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
Top