mishahara

  1. G

    Mpaka leo shule za Tanzania hazifundishi watoto IT, majirani wanaonesha nia wanapewa grants kujipanua na kulamba mishahara takehome milioni 20+ majuu

    Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza kutenegendeza programs, mifumo ya computer, robots, n.k. mtoto anajengewa msingi imara kuvijua vitu...
  2. Maleven

    Vijana wenzetu wenye ajira na mishahara mizuri, how it feels up there?

    Naomba kujua hapo juu maisha yakoje ukiwa na Ajira ya uhakika na msharaha mzuri kwa vijana wenzangu? Wengine tumejiajiri si ni yes no yes no. I wish to feel the experience of that place even from narration
  3. S

    Kauli ya Mbowe kuhusu wabunge kujiongezea mishahara ni ya kweli. Mbona hajaitwa na Kamati?

    Waliwahi kuitwa na Kamati ya haki, kinga na madaraka ya bunge kwa kutoa kauli zilizodhaniwa kuwa zinalibagaza bunge ni pamoja na:- 1. Makonda alipokuwa RC wa DSM. Huyu alisema wabunge wanalala tu bungeni, hakuna wanachofanya. 2. Alexander Mnyeti alipokuwa DC. Huyu sikumbuki alisema nn. 3. Pascal...
  4. sonofobia

    Je, kuna rekodi zozote za Mbowe kulaani posho na mishahara mikubwa ya ubunge pindi CHADEMA ikiwa na wabunge wengi bungeni?

    Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao. Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu. Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa...
  5. A

    DOKEZO Tabora: Hospitali ya Malolo Wafanyakazi wengi hawajalipwa mishahara tangu December 2023

    Hospitali ya Malolo (Reginal level) Wafanyakazi hawajalipwa mishahara tokea December 2023(Majority) huku wachache hawajakamilishiwa mishahara ya mwezi November. Uongozi wanasema NHIF hawajalipa claims since December maana zaidi ya 95% ya wagonjwa ni wanachama wa NHIF, hivyo hamna hela. Kadi...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Serikali kama imeshindwa Kuweka mishahara ya watumishi katika usawa ni vizuri ipunguze idadi ya watumishi

    Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri. Kuna mashirika ya umma Kuna taasisi za umma Kuna wakala wa serikali. Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi. Kuna bodi mbalimbali Kuna tume mbalimbali...
  7. fogoh2

    Simbachawene aelekeza kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kusimamia Watumishi kutekeleza zoezi la PEPMIS

    #HABARI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Juma Mkomi kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kuwasimamia watumishi wao kujisajili na kujaza mipango kazi yao katika Mfumo...
  8. U

    Nataka nirudi shule nikiwa na 36 kwa kusikia Marekani Waafrika waliosoma wanapewa ajira kiupendeleo na mishahara ni mirefu, nijilipue?

    Nina ajira tayari lakini sioni nikifika mbali, 1.6x million take home baada ya makato Kwa nchi kama Marekani wamarekani weusi wengi hawajaelimika, fursa hizi zinawapita, wameharibika na utamaduni wa kutukuza uhalifu, shortcuts, victim mentality, n.k. wengi wanaishia kuona ujanja ni kujiunga...
  9. Execute

    Kipindi hiki cha mgao mishahara ya Tanesco inatoka wapi?

    Umeme upo kidogo na hivyo makusanyo ni kidogo. Ukiweka gharama za uendeshaji wa mitambo na miundombinu ni dhahiri fedha inayobaki ni kidogo. Swali langu ni je wanaendelea kulipwa? Kama ni ndio, fedha zinatolewa wapi kulipa hao wasioleta tija? Waziri na wizara nzima ya nishati wanalipwa kutoka...
  10. MKATA KIU

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Habari wadau. Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha . Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini. Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini. Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na...
  11. Greatest Of All Time

    Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

    "Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
  12. Webabu

    Hamas wazidi kusambaza polisi Gaza na kuanza kugawa mishahara.

    Huku jeshi la IDF likikaribia kufika Rafah mpaka wa Gaza na Misri,maeneo mengine Hamas wamezidi kusambaza polisi wao ili kuleta utulivu na hata kuanza kugawa mishahara kwa vikosi vyake nawaajiriwa wengine wa idara za kijamii. Afisa mmoja wa Hamas aliliambia shirika la habari la AFP kuwa...
  13. MamaSamia2025

    Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  14. Roving Journalist

    Mara: Uongozi Mgodi wa Cata Mining wasema utawalipa Wafanyakazi wake waliogoma kwa kutolipwa mishahara

    Siku chache baada ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu, CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara kufanya mgomo wakishinikiza kuliwa mshahara wao wa miezi miwili, uongozi wa Mgodi umetoa ufafanuzi. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango yao katika mfuko wa...
  15. Allen Kilewella

    CCM ndani ya viwango vya mishahara (Salary Scales) huwa mnaweka nini??

    Watanzania wengi walioajiriwa hutazama zaidi ukubwa wa viwango vya mishahara lakini sidhani kama huwa wanahoji ndani ya viwango hivyo vya mishahara kunawekwa nini !!?? Kwa mfano labda kiwango cha mshahara kiwe ni shilingi 350,000. Je muajiri ndani ya hiyo 350,000 ameweka vitu gani na kwa...
  16. K

    Wafanyakazi mgodi wa CATA Mining Mara, waanza mgomo kushinikiza kulipwa mishahara, michango NSSF

    Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi wa Mgodi kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango...
  17. mkarimani feki

    Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
  18. waziri14

    Ngazi za mishahara Serikalini

    Habari, Nimekutana na changamoto ya kutofahamu ngazi za mishahra pamoja na stahiki kwa mtumishi wa serikali. Mwenye mwongozo anisaidie
Back
Top Bottom