tamasha

Tamasha (Marathi: तमाशा) is a traditional form of Marathi theatre, often with singing and dancing, widely performed by local or travelling theatre groups within the state of Maharashtra, India. It has also been the subject of several Marathi films. Some Hindi movies have also included Tamasha-themed songs, known as Lavanis, in the past.
Traditional Tamasha is influenced by many Indian art forms and draws from such diverse traditions as kaveli, ghazals, Kathak dance, dashavatara, lalit and kirtan. There are two types of Tamasha: dholki bhaari and the older form, sangeet baari which contains more dance and music than drama. In Maharashtra, the Kolhati groups are traditionally associated with the performance of Tamasha.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

    Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ? Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli? Britanicca
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Muda huu lile tamasha la miaka 30 limeanza katika ukumbi wa Mlimani City. Wasanii wa zamani wanapanda jukwaani kutukumbusha zile ladha za miaka ile. Vijana wa miaka ile njooni hapa Live updates ziko hapa kwenye uzi huu… Show iko live kupitua Sinema Zetu, TvE, Clouds Tv
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

    Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi. Hebu tuangalie baadhi ya mistari:- Isaya 55:1-2 [1] Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle...
  6. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Mkafanya hadi tamasha, hio yote kushuhudia mpira wenu wa kupaki basi😁

  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Israel kuandaa tamasha la LGBT

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetangaza kuandaa tamasha kubwa la jamii ya LGBTQ+ (mapenzi ya jinsia moja) linalofahamika kama "Pride Land," ambalo linatarajiwa kufanyika katika fukwe za Bahari ya Chumvi mwezi Juni. Tukio hilo limetajwa kuwa tamasha kubwa zaidi la aina yake kuwahi kufanyika...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Tamasha la Miss Tanzania: Kuna wasanii wataenda kuwa Mabilionea

    Baada ya Tamasha hili, Kuna uwezekano mkubwa Muandaaji akafunguliwa kesi ya madai ya Mabilionea kwa kutumia nyimbo za wasanii katika Tamasha la Biashara endapo idhini yao haikupatikana. Nipo pale Tusubiri tuone panapovuja wapi
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba ashiriki tamasha la mtoko wa Pasaka, asisitiza amani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 5, 2026, ameshiriki Tamasha la Pasaka la Mtoko na Christina Shusho lililofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika tamasha hilo, Waziri Mkuu amesema kuwa Pasaka ni kipindi muhimu kinachowakumbusha Watanzania...
  10. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tamasha la mkesha wa uzinduzi AFCON: Nimefurahi hakuna Msanii hata mmoja kutoka Tanzania

    AFCON Kick Off Concert, ni tamasha la kuelekea mkesha wa Ufunguzi wa AFCON ambapo limepangwa kufanyika Jumamosi hii kuanzia Saa 12:00 Jioni mpaka Saa 6:00 Usiku huko Morocco Wasanii rasmi ambao wamealikwa kupafomu tamasha hilo wapo, French Montana, Davido, Says Z, Douaa Lahyaoui na Lartiste...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Zuchu alalamikia kutolipwa Malipo yote tamasha la CHAN 2024

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu ameibuka hadharani kulalamikia waandaaji wa Tamasha la CHAN 2025 kwa kushindwa kumlipa malipo kamili ya onyesho alilofanya jijini Nairobi, Agosti 30, 2025. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu amesema licha ya kutoa burudani bora kwa mujibu wa...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Utamaduni la Bulabo - UN wapongeza

    Tamasha la Utamaduni la Bulabo. Limepigiwa chapuo na UN katika kuendeleza Utamaduni wa asili wa Mwafrika kama Mkataba wa UNESCO Convention on Intangible Cultural Heritage wa 2003 unavyoelekeza. Hongera Mheshimiwa Dr Samia. Lucas Mwashambwa
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bulabo :Ni utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili naona CCM wamegeuza kuwa uwanja wa siasa.

    GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watu Milioni 2.1 wahudhuria Tamasha la bure la Lady Gaga nchini Brazil

    Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo umati mkubwa wa watu ulijaza ufukwe huo siku ya Jumamosi wakati nyota huyo wa muziki wa pop alipopiga...
  15. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kipendekoste ataka mshikamano Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo. Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tamasha la kuombea uchaguzi mkuu 2025 laungwa mkono na hotuba ya rais Samia

    Wakati maandalizi ya Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 yakipamba moto wake, hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nayo imekazia amani na utulivu kipindi cha uchaguzi. Akihutubia kwenye Baraza la Eid El Fitr kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tamasha la Eid MUBARAK Arusha kufanyika CBD!

    Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote. Asante Sana Mheshimiwa kutujali
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BASATA & Tume ya uchaguzi zuia tapeli Msama na tamasha lake la kuombea uchaguzi

    Huyu tapeli ana rekodi mbaya kwenye utapeli wa ardhi na madawa ya kulevya. Nawasihi BASATA au Tume ya uchaguzi (NEC) msimruhusu kamwe ajihusishe na uchaguzi mkuu wa 2025. -- TAMASHA la kuombea Uchaguzi Mkuu linatarajiwa kufanyika katika mikoa 26 ya Tanzania, likianza jijini Dar es Salaam mwaka...
  19. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadau wataka tamasha la kuombea uchaguzi mkuu liwe la imani zote

    Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao wapenda amani walisema kuwa, endapo tamasha hilo litahudhuriwa na watu wa imani moja...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la kwanza la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China larushwa hewani baada ya Sikukuu hiyo kuorodheshwa kuwa “urithi wa utamaduni usioshikika”

    Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
Back
Top Bottom