harusi

 1. GENTAMYCINE

  Ni Harusi ipi ( gani ) inayonoga zaidi na ndiyo inatakiwa kwa Maisha ya sasa ( Magunu na Nafuu ) kati ya hizi Mbili zifuatazo?

  A. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Kuomba ( Kupitisha ) Michango kwa Watu na bado wakija Ukumbuni Bia za Kulazimisha kupewa, Soda za Kuvizia na Chakula cha Kukadiriwa na hapo hapo bado unatakiwa ukawawazawadie wana Ndoa Meza Kuu? B. Ya Kuoa / Kuolewa kwa Wanandoa Kujichanga Wenyewe kwa kila Kitu huku...
 2. MSAGA SUMU

  Nalaani kitendo alichofanyiwa mke wangu siku ya harusi yetu

  RIP Fredwaaa. Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu. Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa. Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
 3. wa stendi

  Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

  Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
 4. Akilitime

  Kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa afanye nini ili kupunguza gharama?

  Wakuu wanajukwaa wasalaam, Msaada, kwa kijana anayeanza maisha na anataka kufunga ndoa ya kikristo bila kutumia gharama kidogo za harusi. Au afanyeje ili kuepukana na gharama za harusi, je umewahi kushuhudia ndoa/ harusi ya bei rahisi? Je likuwaje? Je umewahi kuhudhuria ndoa isiyo na harusi...
 5. H

  Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

  Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
 6. Uzalendo Wa Kitanzania

  Harusi ya Robert Mugabe na Sara Francisca 1961

  Kwa picha harusi ya Robert Mugabe 1961 Wote ni wendazake
 7. Jokajeusi

  Jinsi wanawake bikra wanavyopungua ndivyo harusi na ndoa zinavyopungua

  Igweeeee! Poleni na Msiba mzito, haya bila kupoteza muda niende kwenye mada kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Wanawake wa siku hizi wanamsemo wao usemao; siku hizi hakuna waoaji' wakimaanisha wanaume wa siku hizi ni chapa ilale. Hawajiulizi ni kwa nini siku hizi hakuna waoaji wao...
 8. Krav Maga

  Kwanini Ratiba ya Mazishi inabadilika badilika hovyo?

  Nilishangaa mno ile ya mara ya Kwanza kuona Wakazi wa Zanzibar hawakupewa nafasi ya Mwili kwenda Kisiwani Kuagwa ila kwakuwa jana Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan (atokaye Zanzibar) Kaapishwa leo mmeiweka. Kama kuna Upuuzi mkubwa niliouona katika Ratiba mpya (iliyobadilishwa) ni kuona tarehe...
 9. ROBERT HERIEL

  Ni kawaida Mambo haya kutokea kwenye "MISIBA"' au Kwenye "Harusi"

  NI KAWAIDA HAYA KUTOKEA KWENYE "MSIBA" AU KWENYE "HARUSI" Kwa Mkono wa, Robert Heriel Harusi na msiba ni matukio muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Tofauti ya matukio haya mawili ni kuwa tukio moja kila mwanadamu hutamani kulifanya lakini wachache ndio hubahatika kufanya. Tukio hilo ni...
 10. R

  Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

  Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje? Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano...
 11. Bujibuji

  Harusi za Wasomali ni nusu vita

  Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi. Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia. Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani...
 12. Return Of Undertaker

  Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

  Kiwango hicho cha tozo kitaanza kutozwa tarehe 01 Februari, 2019. Kibali hiki ni kwa watakaotaka kupiga muziki kwenye Bar, Pub, au ukumbi wa starehe Lakini pia kitawahusu wanaotarajia kupiga muziki kwenye send-off, harusi/ndoa, jando na unyago na birthday Aidha, kibali hiki kitapaswa kukatwa...
 13. Jokajeusi

  Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

  Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu. Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka...
 14. M

  Ndoa siitaki kwasababu kila harusi utasikia "ndoa ni uvumilivu"

  Maisha haya ni mafupi sana. Huna haja ya kujinyima raha ya nafsi yako hata kwa dakika moja. Pwani kuna msemo kuwa "raha jipe mwenyewe". Kuna watu wanadhani wakiingia kwenye hiyo jela iitwayo ndoa watapata raha, wanaishia kupata karaha lkn wanaambiwa wavulilie. Yaani waugulievndani kwa ndani...
 15. M

  Harusi ya Haji Manara

  Leo ni sherehe ya harusi ya Haji manara, inarushwa live azam tv sinema zetu.naona vigogo kama wote. Namuona le mbebez anakapila kapila macho tu...na wewe uoe babu. Uzi tayari
 16. Infantry Soldier

  Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike?

  Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike? HIKI KISA NI KIREFU SANA ILA NINAOMBA KUANDIKA KWA...
 17. Analogia Malenga

  Kenya yapunguza idadi ya wageni wanaohudhuria harusi kutokana na corona

  Chakula kitatolewa tu kwa wazazi na ndugu wa maharusiImage caption: Chakula kitatolewa tu kwa wazazi na ndugu wa maharusi Idadi ya wageni watakaoruhusiwa kuhudhuria harusi nchini Kenya imepunguzwa hadi kufikia watu 50 pekee kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona nchini humo...
 18. Kijana wa jana

  Nyota wa Nigeria aliyehudhuria harusi akiwa na wapenzi wake 6 wenye ujauzito akosolewa na umma

  Nyota wa Nigeria kwenye mtandao aliyehuduria harusi pamoja na wapenzi wake sita wenye ujauzito akosolewa na umma Gazeti la Daily Mail la Uingereza limesema, nyota wa Nigeria kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram anayejulikana kama " Pretty Mike " amehudhuria sherehe moja ya harusi akiambatana...
 19. akajasembamba

  Harusi bila wazazi wa kiume wala ndugu upande wa baba pande zote

  Hivi karibuni nikiwa mkoa mmoja kaskazini mwa nchi yetu, nilihudhuria sherehe ya harusi, ambayo pamoja na kushangaa na waliojitambulisha ni wenyeji wa mkoa wa kaskazini na siyo mwambao, sherehe nzima nyimbo zilizotawala ni taarabu za kisasa(rusha roho na mipasho) kingine kilichonishangaza ni...
 20. J

  Uchaguzi 2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

  Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni pamoja na harusi na makongamano ili watu wajiandae na matayarisho ya kupiga kura siku ya Jumatano, 28...
Top Bottom