maharagwe

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. T

  Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

  Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula...
 2. Mwande na Mndewa

  Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

  Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo, Kwa mara nyingine Mama...
 3. Aggrey sallah

  Maharagwe mazuri Sana "Karianzee"

  Habari za uzima Ndugu zangu , Nina Maharagwe mazuri Sana yanayolimwa Sana Kilimanjaro , yanaitwa "Karianzee" ni Quality Sana kuyashinda hata Maharagwe ya Njano ila kutokana na kutojulikana watu wengi wamekuwa hawayanunui. Sina Imani kuwa ni wote hawayajui ila Kuna watu watakuwa wanayajua na...
 4. Idugunde

  RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

  RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
 5. Clark boots

  Ulaji wa Maharagwe na tatizo la kujaa kwa tumbo/kuuma

  Jamani nipo Huku kwa wangoni kjiji fulani kama week plus, ila kutokana na mazingira inanibidi nitumie maharagwe everyday kama mboga kuu kwa haya maeneo kiukweli haziishi Siku mbili lazima nipige maharagwe. Sasa tatizo najiona tumbo limeaanza kujaa gas sometime linauma hasa nyakati za usiku...
 6. Analogia Malenga

  Unaweza kuugua au kufa ukila maharagwe mekundu

  Kwa ujumla huwa tunasema kuwa maharage ni mazuri kwa afya, lakini kuna aina ya maharage kama hayataandaliwa vizuri yanaweza kukufanya uugue ukila. Maharage mekundu ndio aina ya maharage ambayo yanatajwa kuwa na ladha nzuri, yenye virutubishi, protini, vitamini na madini. Lakini kwa upande...
 7. Informer

  Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

  Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari linaweza kama maharage mabichi au maharage makavu. Pia majani yake mni chakula cha mifugo na yanatumika pia kama mboga kwa binadamu. Katika ekari moja unaweza kupata Kg 600 hadi 1200 za maharage. Maharage...
Back
Top Bottom