Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU.
Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu, lakini ukifiria kuwa bila kufanya hivyo, ndoa yako inaweza kuvunjika kutokana na kukoroma kama jenereta...
Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC).
Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
★ Asema mifumo ya utoaji huduma imedhibiti watu kati★ Akabidhi hati zaidi ya 800 za miliki za ardhi Mafinga
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema maboresho ya mifumo ya utoaji huduma za ardhi yamewezesha wananchi kupata hati za miliki kwa urahisi zaidi...
UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza...
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Mara nyingi mm huwa naona hawa watu wakiombana simu huwa hawanyooki moja kwa moja mpaka wapatiane.
Zitakuja sababu lukuki ili mradi ajaribu kuisafisha.
Mara ngoja kuna mtu nimjibu sms mara ngoja kuna mtu amenicheki au subiri dk 1 doh! Ni balaa tupu.
Kila mtu ana siri zake bhana. Hivo kutoa tu...
Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k.
Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna mfungwa aliefungwa miaka hio katoka jela na aliacha elf 50 hawezi kupata basi Dar kwenda Mwanza...
Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo.
Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10.
Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
Je,
ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni?
Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake?
Na,
kwanini aliitanguliza...
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time.
Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama.
Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi.
Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
#Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti!
1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu.
2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!).
3. TOUR OPERATOR WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.