mapenzi


 1. Mstarabu kiona

  TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

  Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
 2. Director Cosmopolitan

  Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

  Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
 3. Kaka Pekee

  Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

  Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake. Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
 4. I

  Nimwache akapange au niondoke mimi?

  Habari wanaJF, naomba mnishauri pia kwa hili. Nilikutana na binti mmoja mwaka 2012 katika mazingira ya kazini na tukaingia katika mahusiano, binti huyo alikuwa akiishi kwa dada yake mkubwa ambaye wamechangia mama. Kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba dada yake huyo alikuwa akimnyanyasa na...
 5. Shomari

  Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

  Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
Top