Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
Wanabodi...
Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend.
Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu.
Je Mungu huyo yupo?
Maana nimefika...
Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake..
Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake.
Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
Wakuu kuna moments huwa binadamu tunazipitia, zinakuwa ni nyakati ngumu zinazokupa mzigo kichwani kias kwamba unakata tamaa kabisa unajiambia moyoni hapa sitoboi dadek, ila unajipa moyo ngoja niendelee kujaribu ikishindikana basi.
Halafu unaona mambo yanaanza kuclick, unaanza kuelekea kwenye...
MOSHI
Moshi Sports Club imeingia kwenye mvutano wa kiutawala baada ya wanachama 16 wa klabu hiyo kuwasilisha malalamiko kwa Trustees, wakidai kuwa uchaguzi wa viongozi haujafanyika kwa mujibu wa masharti ya katiba ya klabu.
Wanachama hao, kupitia barua yao, wanasema kutofanyika kwa uchaguzi...
Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi;
Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi!
Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa;
1. Wenyeviti wa mitaa
2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa
3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka.
Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje?
Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
Elimu ya tanzania imeshakuwa ya ovyo kuanzia kanumba mpaka binafsi.
Embu kaguweni madaftari ya watoto husasani hawa wa primary.
Mtoto anasoma private nimekagua daftari nakuta kapewa tiki swali ambao kakosa.
Haya Je kwenye matokeo kila mzazi anaambiwa mtoto wake kawa wapili au wa kwanza...
Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
NJOMBE
Mwananchi kutoka Halmashauri ya Ludewa mkoani Njombe, Bw. Leonard Paul Ngimba, ameonesha kuridhishwa na matumizi ya mfumo wa e-Ardhi baada ya kufungua maombi ya hati ya umiliki wa ardhi kupitia mfumo huo na kukamilishiwa huduma ndani ya siku moja.
Leonard ameyasema hayo leo, Septemba...
Msanii Mkongwe Dudu Baya, ameonekana kwenye video akisema kuwa kuna mpumbavu mmoja panya mwenye kaswende mpumbavu eti amenipigia simu eti akifa nisisogelee maiti yake akifa nisifike Kwenye msiba wake.
Unadhani panya huyo ni nani?
Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya kuifanya kata hiyo kuwa kariakoo ya baadae
Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Waziri wa Maliasili na Utalii kufika ndani ya siku saba katika Dampo la...
Maneno ya Biblia takatifu yanatuasa tulinde vinywa vyetu kuliko kitu kingine kile...
Maana yake ni kwamba maneno ni kama risasi hayana rivasi.. Ni vema sana kuwa na tafakuri kuu kabla ya kutamka lolote
Matamshi ya Kingai leo kwa Lissu yamebeba mwangwi mkubwa na kuna siku yatamrudia maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.