Salaam sana Wakuu
Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi...
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki.
Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii...
Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo...
Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo...
Haya haya sasa
March ndio hii
Swali kama mmeliona hapo
Msaidieni mwenzenu
Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu
Ila ana kibamia na hatoi hela
Afanyaje?
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa
Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki...
Wakuu
Katika maisha ya mahusiano tunapitia mengi,unaweza ukapendwa sana mpaka ukawa unahisi ni kero sasa
Mtu kila saa anakutafuta,anakutumia text,anakupigia,ukimjibu au ukichelewa kumjibu...
Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto
Wakuu...
Kumekuwa na uvumi mtaani kuwa ukienda kupima DNA kwa mkemia mkuu huwa wanataka uanzie USTAWI WA JAMII NA KWA MWANASHERIA AMA ORDER kutoka mahakamani ambapo unasikilizwa kwanza nia yako na uamuzi...
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe...
Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha.
Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu.
Iwe...
Wakuu hii story nimeikuta huko FB kwa famous account ya iddi makengo je zinakuwaga na ukweli wowote!?
Nifanye nini nimetembea na mchumba wa wifi yangu kajaua lakini haongei chochote!
Ndoa...
Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi...
1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.
2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu...
Wanajamvi, habari zenu.
Naomba niende kwenye mada. Nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye nilikutana naye kwa mara ya kwanza mwezi wa tisa mwaka jana nikiwa katika mizunguko yangu ya...
Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya
1. Tumia condom
2. Tumia condom
3. Tumia condom
Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda...
Habar wakuu
Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe,
Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku...
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute.
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana.
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka...
Wakuu za usiku,
Asee tembea uone leo niliwasili kwenye ofisi fulani posta kwa ajili ya shughuli zangu binafsi za kiofisi sasa kama mnavyojua utaratibu huwa ni lazima ukutane na secretary ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.